Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku


Baadhi ya wanaume ni wabinafsi mnooo, yani yeye anajiona yuko sawa kabisa, haoni shida yoyote upande wake, lawama zote ni kwa mke [emoji848][emoji848] wakati mwanzilishi wa usaliti ni yeye ila halioni hilo [emoji848][emoji848] . Mvunjaji wa hii ndoa ni mwanaume mwenyewe na sio mwanamke
 
Piga Taraka haraka sana
 
Tumia huu ushauri, mwanamke haluhusiwi kuchepuka,akichepuka unamwacha mana Ni zaray ya kiwango Cha sgr
 
Point
 
Ww cocastic au ndio mtuhumiwa nini mbona mkali hivyo[emoji12]!?

Duh, ww kumbe wa hivyo loh! We baki njia kuu no matter what, utaumia bure ukifikiri unamkomoa mtu[emoji12]!
Yeye kwanin asibaki njia kuu? Na mie nataka kujua huko njia ya mkato kuna nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume bwana!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
utaua watu wa mshtuko wewe😁😁
 
Yaan mie ananishangaza kwa kweli khaaaah, bora hata wee umueleze khaaaah.
 
Hakika umenena haswaaaah. Ubarikiwe sana.
 
Hii ishu Kuna jamaa yangu ilimtokea mwez Jana lakin hvi ninavyoandika tayar washagawana Mali KILA mmoja nakwake Hawa viumbe nikiboko
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Duh Mkuu pole sana hasa kwa kumuwahi jamaa kabla hajala mzigo, nje ya Mada unaendelea naye kama wife?
je km uliwawahi ni kwamba hawaendelei au jamaa kabla hajawahi onja?
ni experience tu maana mm yamenikuta kwa mchepuko nilimpangia na kumtembelea asubuhi hakuwepo hadi saa sita mchana simu alizima siku 3 lkn siku hiyo saa 6 aliwasha
 
Sheria n moja tu, "CHEPUKA LAKINI USIKAMATWE" siku hizi 80% ya wanandoa wote ni wazinzi tu.
Kuoa n kubahatisha
Unaweza ukaoa mwanzoni akaonekana mtulivu lakini mwishoni mambo yakabadilika.
Mkuu pole Na kilichokukuta. Kitu cha msingi ni kukaa chini Na kuzungumza Na mkeo. Mwanamke uliyemuoa kwa ndoa mkaishinae Na kuzaa nae watoto /mtoto n bora sana.
Katika maongezi hakuna kinachoshindikana.
Then jitahidi sana upige show vizuri kwa maana hiko ndiko kitu cha kwanza kabisa mwanamke alichokifuata kwako. Mengine yanafuata
Ahsante
 
Hapo ndio wanaume wengi tunakosea sana! Mwanamke siyo kupiga show tu ndio kunamtuliza asichepuke! Na wala siyo kweli wanakochepukia hukuta show sijui ya maana kuliko walioiacha! Mambo ni complicated sana i see 🤔!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…