Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Hahahaha!anakufinyia kwa ndani
 
Km movie vile daaah!pole broh!!
 
Wanaume bwana!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
 
Hapana nilishamtosa na sijui kama wapo pamoja au waliwahi kusex au la
 
Hapana nilishamtosa na sijui kama wapo pamoja au waliwahi kusex au la
ok majibu yako nimeyakuta post za nyuma, kuwa alitoroka baada ya muuza chips kugonga
hivi hawa wanawake ni kwamba hawaridhiki au alitaka kuonja taste nyingine akidhani ni match la kibabe?
kuna ka kitu kana wawasha siwalaumu hata sisi wanaume tupo hivyo lkn bora ulimuacha
 
Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.

Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🀣
 
Yah huwa siwez deal na stress
 
Cha ajabu hawakuonei huruma kwa mtihani mzito ambao hujautarajia pole sana ndo mapito hayo.
 
Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.

Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🀣
Hata mwanaume akifumwa hali ni hii hii tuna angalia nani aliekutwa na kidhibiti
 
Jipe mda kidogo
 
duh...kama kweli blaza pole.....ila hukupaswa kumpiga hata kidogo.....mkeo ni KAHABA, na analiwa sana.....ni wewe hukuwa makini na miendendo yake.....MWANAMKE YEYOTE AKICHEPUKA....ujue hakuhitaji ASILANI...sawa mna watoto......je ni wako?..sawa ni wako....uendelee kuishi nae huku anaendelea na chepuko lake.......sikushauri lolote......hakikisha WATOTO wako wapo salama daima.....zingatia UKIMWI UPO......na wanao wangali wanakuhitaji.......wewe ni mwanaume......fanya linalokupendeza........duh kuliwa mkeo inauma wandugu....KITOBO CHAO KIMECHOKOLEWA NA HUNIIIII 😎 😎 πŸ˜ŽπŸ˜‚
 
Tulia kijana wangu kaa nae chini muulize sababu ya yeye kudenemka ni nini hasa? Huenda akatoa sababu ambazo wewe ndio chanzo.
Hivi ikiwa kweli utamsamehe mtu wa kisasi na hajawahi kukuweka chini hata mara moja kakimbilia kulipiza tu.
 
Yeye mwenyewe ana michepuko saangapi atakuwa makini na mkewe? Muda wakuwa na mke nyumbani lakini mtu anahangaika na vimada tu
 
Kuoa au kuamuwa kuishi na mwanamke kwa namna yoyote ni jambo moja na kuvumilia au kutovumilia kuendelea kuishi nae ni jambo jingine.

Vitu vingi unavyoviona ni matokeo ya vitu vingine, mfano: Watoto wa mitaani, umaskini, watu wazima wasio jiweza na hawana kuwahudumia, Migogoro ugonvi na hata uwadui wa familia na familia, haya yote ni sehemu ya matokeo ya wanandoa kuachana.

Simaanishi ukimuacha mkeo haya yatakukuta la, ila nasema kwa sababu hakuna mtu anaweza kuguarantee hatima ya maisha yake mwenyewe au hatima ya maisha ya watu wake, unaweza kulea watoto wako ukiwa nao au wakiwa na mama yao ila mwisho lazima kutatokea damage aidha kati yako na wanao au kati ya watoto na mama yao.

"Ukivumilia huo ujinga utaonekana huna pakwenda na ukiamua kwenda utaonekana umeshindwa kuvumilia.
Hii ndio mitazamo ya wadau ila kilicho muhimu ni wewe kuamua lileambalo unaweza kulimudu na litakupa amani ya nafsi kwa maslahi ya watoto wako.

Mkeo alipaswa kukiri kosa ili akurahisishie kufanya maamuzi yaliyo sahihi, na kukutajia watu ambao wewe unatoka nao bado haihalalishi kosa lake.

Kwanini wanaume tunavurugika sana mke anapo saliti! Iko hivi:
Katika mizani ya kisheria mume akizini anamkosea Mungu, ila mke akizini Kwanza anamkosea Mungu pili kamdhulumu mumewe kwa kugawa haki ya mume kwa asiyestahili, ndio maana mume anayohaki ya kudai fidia dhidi ya mgoni wake.

Mkeo akikiri kosa na akaomba msamaha nashauri umsamehe na maisha yaendelee kwa maslahi ya familia.

Kwa uzoefu wangu mdogo mke anasababu mbili tu zinazomfanya achepuke, moja inazuilika na yapili haizuiliki, sababu inayozuilika huwa inaambana na mambo haya: pesa, mitoko, good sex, Hb au mwanaume anaemvutia. Sababu isiyo zuilika ni kupenda shaft yaani wapo wanawake wanapenda shaft bila kujali chochote, kama mkeo anachepuka Kwa sababu hii acha kupoteza muda piga chini.

Acha ubinafsi kama unao, kuwa karibu na mkeo wanawake wanapenda care an attention, unaweza kuwa sababu ya mkeo kuchepuka hasa kwa wanawake vilaza, mke ni yule mwenye kumtunza mumewe na akamhifadhia amana yake.
 
kabunda88 jipe moyo jamaa yetu maana hali uliyofikia wengi hatuwezi maana inaitwa Point of No Return
sasa je ule mchepuko wako uliokuwa ukikusubiri tangu jana yake umeamua vipi ukienda itasimama kweli
je ukimuweka yeye awalee watoto ataweza timiza majukumu ya watoto na wewe ukaridhika?
kumrudisha mama aliyekandamizwa na wavuta bangi ni ngumu lkn huwezi jua na mchepuko anagawaje
sasa jua wanawake ndio hivyo km wanaume tu rudi Kijijini kachukue mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…