Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku


Pole ndugu,

Zama za mwisho hizi.
Maamuzi ni yako mwenyewe.
Madhali ushamjua kua naye ni msaliti,
Ndio jifunze kuishi nae kwa akili.

Ukute hata mchepuko wako nae alikuwa anachepuka huko ndio maana nae akawa hapatikani, hadithi zao ndio hizo hizo.
Hata ukaanze upya, asilimia kubwa zama hizi ndio hao hao.

Ushauri wangu,
Usimuache.
Ishi nae kwa akili.
 
Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.

Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🤣
Duuh kumbe siyo jambo la ajabu, kazi tunayo wanaume!!
Kwa mtazamo huu sijui tutegemee nini kutoka kwa watoto wetu wa kike, maana ninyi ndo role model wao
Ila jua kule West Africa bado wanapigwa mawe hadi kufa, kama ilivokuwa wakati wa Musa
 
Wanawake wa leo hata hamueleweki mnataka nini....
 
I realy dont get you, unatanguliza vizuri, hata pengine hao watoto sio wa jamaa, kisa unaharibu unaposema angempa taarifa anarudi, yaani wewe huoni lolote baya mke wako kuliwa na mtu wingine??ß kwahivyo ulitaka aendelee kuliwa tu, na lingine na la muhimu ati huo mke ni binadamu, so kuwa binadamu kwa maoni yako kunampa ruhusa ya kufanya userati??? what kind of thinking do you have pls? we are all human, and we are all responsible for our actions, decisions, period, hapo hakuna mke
 
Nitafanya uhuni wote ila Kulala na mke wa mtu hapana asee
 
Let me give you some advice sir, mwanamke hutafuta sababu za kufanya sex, mwanaume hutafuta pahali pa kufanyia sex, thats very very important and aslo key to the issue at hand,sisi mwanaume tunataka tu kufanya sex na kunasepa, tunaweza fanya sex na binti au mtu ambae hata hatuko emotionally connected na yeye, na ndio unaona unaweza mula binti na hata after 3 hours you dont even rember the issue, no emotional attachment, Lakini hawa dada zetu, very diffrent story, mwanamke yeyote hafanyi sex ovyo ovyo na mtu yeyote, lazima awe na saabu maalum , na pia most important, and i repeat most important awe na emotional attraction to that man,na hii ni la muhimu sana kuzingatiwa na wana ndoa, na ndio unaona ni rahisi sana mke kusawisiwa na anayemla amuue mume wake ndio wabaki wao wawili, lakini ni vigumu sana mume kusawisiwa na mchepuko wake amumalize mke wake ndio abaki na mchepuko, do you get my point sir? my advice to you, run as fast as you can toka kwa huyu unayeita wife,mambo ya kids panga ukiwa mali na yeye,fail to do that, keep living with her, an it might be too late to------guess what--------------
 
Nakazia hapa.
Usijaribu kurudiana na mwanamke /mke aliyeweza kufikiri na kuchukua maamuzi ya kuchepuka/kuwa na mwanaume permanent wa kuwa nae kwa kipindi upo nae.

Inapaswa Umfukuze na Kuchukua watoto wako.

Kwa upande wa kuendelea kuwaacha watoto kwa mke wako ni dalili nzuri za nyinyi wawili kurudiana.
 
Umenena vema sana mkuu wengi wamepoteza mwelekeo kisa mke kasaliti au mume kasaliti mm nafikiri mengine tukubali ni mapungufu yawenza wetu walau tuwape nafasi nyingine
 
Yani haya mambo ndugu ataacha wangapi nikuvuruga watoto tu
 
Mimi nakushauli hivi...

ACHANA NA HUYO MWANAMKE TENA USIMWACHIE NYUMBA,WEWE MWAMBIE AONDOKE TU AENDE ANAPOTAKA ILA AKUPISHE USIJE MFANYIA UNYAMA.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe ndo maana una hasira na wanawake

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…