Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kama sio ndugu yako.. uwe makini na wewe.. kama ameweza kwake.. vipi kwako?Mshikaji wangu sana dogo akiwa na shida namkopeshaga sana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio ndugu yako.. uwe makini na wewe.. kama ameweza kwake.. vipi kwako?Mshikaji wangu sana dogo akiwa na shida namkopeshaga sana tu
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya
Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.
Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,
Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,
Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion
Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana
Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi
Jamaa:hey beautiful missed you
Mke: hey baby missing you more
Jamaa: missed your voice sana
Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.
Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa
Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena
Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa
Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza
Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa
Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu
Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,
Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,
Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .
Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo
Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan
Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?
Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,
Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,
Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu
Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.
Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Acha waendlee kubishana tu mkuu wakat chanzo kipo hapo hapoWatakuelewa wachache. Lakini una hoja ya msingi sana. Mchepuko ni chanzo cha yote haya.
Heshima ya mume ni mke dada...Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
Mwili wangu ni jumba la thamani sana halichezewi na kila mtuu...nilisemaga sitacheat na nina uhakika na maneno yangu.Kama sio ndugu yako.. uwe makini na wewe.. kama ameweza kwake.. vipi kwako?
Duuh kumbe siyo jambo la ajabu, kazi tunayo wanaume!!Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.
Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🤣
Wanawake wa leo hata hamueleweki mnataka nini....Jaman kwahiyo mwanamke, akilishwa, akitombwa, akiishi kwenye kasri, akiwa na ndinga kali, bas mwanaume ameshamaliza majukumu kwa mkewe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa inabidi ujiulize why fundi kushona au boda boda? Unakwama wapi yaan, [emoji23][emoji23][emoji23]
I realy dont get you, unatanguliza vizuri, hata pengine hao watoto sio wa jamaa, kisa unaharibu unaposema angempa taarifa anarudi, yaani wewe huoni lolote baya mke wako kuliwa na mtu wingine??ß kwahivyo ulitaka aendelee kuliwa tu, na lingine na la muhimu ati huo mke ni binadamu, so kuwa binadamu kwa maoni yako kunampa ruhusa ya kufanya userati??? what kind of thinking do you have pls? we are all human, and we are all responsible for our actions, decisions, period, hapo hakuna mkeHuyo mke analiwa na jamaa tangu siku nyingi. Na yawezekana hata hao watoto unawaonea uchungu sio wako.
Ulifanya kosa kubwa Sana kumshtukiza.
Mwanaume mwenye akili sawa huwezi kufanya Hilo.
Huyo sio malaika.
Ni binadamu Kama binadamu wengine.
Mpe taarifa kuwa unarudi.
Tena Bora huyo kaenda huko mtaani.
Mwingine ungelikuta lijamaa humo ndani.
Upo kama mimi mkuu heri nikatembee na mtoto wa Kikwete kuliko mke wa mtu aisee nimeshindwa kabisaNitafanya uhuni wote ila Kulala na mke wa mtu hapana asee
Nakazia hapa.Sijaoa ila principles ni hizi.
Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.
Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.
Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.
Take it or leave it.
Umenena vema sana mkuu wengi wamepoteza mwelekeo kisa mke kasaliti au mume kasaliti mm nafikiri mengine tukubali ni mapungufu yawenza wetu walau tuwape nafasi nyingineKuoa au kuamuwa kuishi na mwanamke kwa namna yoyote ni jambo moja na kuvumilia au kutovumilia kuendelea kuishi nae ni jambo jingine.
Vitu vingi unavyoviona ni matokeo ya vitu vingine, mfano: Watoto wa mitaani, umaskini, watu wazima wasio jiweza na hawana kuwahudumia, Migogoro ugonvi na hata uwadui wa familia na familia, haya yote ni sehemu ya matokeo ya wanandoa kuachana.
Simaanishi ukimuacha mkeo haya yatakukuta la, ila nasema kwa sababu hakuna mtu anaweza kuguarantee hatima ya maisha yake mwenyewe au hatima ya maisha ya watu wake, unaweza kulea watoto wako ukiwa nao au wakiwa na mama yao ila mwisho lazima kutatokea damage aidha kati yako na wanao au kati ya watoto na mama yao.
"Ukivumilia huo ujinga utaonekana huna pakwenda na ukiamua kwenda utaonekana umeshindwa kuvumilia.
Hii ndio mitazamo ya wadau ila kilicho muhimu ni wewe kuamua lileambalo unaweza kulimudu na litakupa amani ya nafsi kwa maslahi ya watoto wako.
Mkeo alipaswa kukiri kosa ili akurahisishie kufanya maamuzi yaliyo sahihi, na kukutajia watu ambao wewe unatoka nao bado haihalalishi kosa lake.
Kwanini wanaume tunavurugika sana mke anapo saliti! Iko hivi:
Katika mizani ya kisheria mume akizini anamkosea Mungu, ila mke akizini Kwanza anamkosea Mungu pili kamdhulumu mumewe kwa kugawa haki ya mume kwa asiyestahili, ndio maana mume anayohaki ya kudai fidia dhidi ya mgoni wake.
Mkeo akikiri kosa na akaomba msamaha nashauri umsamehe na maisha yaendelee kwa maslahi ya familia.
Kwa uzoefu wangu mdogo mke anasababu mbili tu zinazomfanya achepuke, moja inazuilika na yapili haizuiliki, sababu inayozuilika huwa inaambana na mambo haya: pesa, mitoko, good sex, Hb au mwanaume anaemvutia. Sababu isiyo zuilika ni kupenda shaft yaani wapo wanawake wanapenda shaft bila kujali chochote, kama mkeo anachepuka Kwa sababu hii acha kupoteza muda piga chini.
Acha ubinafsi kama unao, kuwa karibu na mkeo wanawake wanapenda care an attention, unaweza kuwa sababu ya mkeo kuchepuka hasa kwa wanawake vilaza, mke ni yule mwenye kumtunza mumewe na akamhifadhia amana yake.
Yani haya mambo ndugu ataacha wangapi nikuvuruga watoto tuPole ndugu,
Zama za mwisho hizi.
Maamuzi ni yako mwenyewe.
Madhali ushamjua kua naye ni msaliti,
Ndio jifunze kuishi nae kwa akili.
Ukute hata mchepuko wako nae alikuwa anachepuka huko ndio maana nae akawa hapatikani, hadithi zao ndio hizo hizo.
Hata ukaanze upya, asilimia kubwa zama hizi ndio hao hao.
Ushauri wangu,
Usimuache.
Ishi nae kwa akili.
Hongera kwakoMwili wangu ni jumba la thamani sana halichezewi na kila mtuu...nilisemaga sitacheat na nina uhakika na maneno yangu.
Mume huyo ni umiza kichwa nasifa yakupendwaga na malayaNdiyo maana alikuacha si ndiyo?
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!
Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Na mchepuko asiliwe nje?[emoji849][emoji849]Daah, haya mambo ya kuchepuka kuyafanya mke ni kosa kubwa sana...mimi hata mchepuko wangu unajua kabisa ukichepuka na nikijua balaa lake siyo la kitoto, its over