Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Dah mkuu pole inauma sana,
Maana jana nilichelewa kulala kusubili kujua shemeji yutu tarudi saangapi. ilakusema suala la kuto kuzini na wake za watu sio kigezo cha kuziniwa mkeo.
Hapo wewe umesimama kama mzinifu ndio maana nawewe umeziniwa mkuu.
Kama unamuacha mkeo basi nawewe unatakiwa kuacha kutafuna wapenzi wa watu maana nawao wanataka kuwaoa lakini wewe unawavurugia.
Mkuu Mimi sijaoa lakini demu wangu nikijua kanisaliti tu napiga chini siwezi kumvumia kabisa.
Kutafuniwa inauma asikwambie mtu
Kama umeamua kumuacha naunga mkono Hoja kwa 100℅.
 
Inashangaza sana ila mkeo ni amezingua yani hakutakiwa kusaliti japo ulimtenga makusudi ni kitu kibaya sana ulifanya ila haiku justify uhuni wa kwenda kuliwa
Jamani kumbuka ke ni kiumbe dhaifu mno wanadanganyika kwa vitu vidogo mfano wewe unaweza hata siku moja baada ya ndoa hujawahi kumwambia tena alivomzuri na jinsi uzuri wake haukinai,hujawahi kumwambia kapendeza,au kummis hata kama ni uongo,hujawahi kumnunulia gauni kama ulivokuwa ukifanya hapo nyuma yaani unampa hela akajinunulie atajua mwenyewe (ila kipindi cha uchumba ulikuwa wa moto) ko unabaki kusema hayo yalikuwa mambo ya zamani (tena sa hivi amekuwa mama watano)kumbe wajuba kutwa wanamsifia alivo mzuri,sasa mwanamke anafanyeje kama siyo kuchukuliwa kirahisi,kiufupi wanaume wanashindwa vitu vidogo vidogo ndo maana play boys wanawawin sana wanawake
 
Mimi wala sikupi pole...safi sana umekomeshwa. Kuchapiwa kunauma jamani asikwambie mtu...
Imagine papuchi ya mkeo unavyoijua halafu jamaa mwingine aisuguesugue...[emoji3][emoji3][emoji3], Ma.tako yanapigwa makofi huku wakikutukana. Mama.e unaweza jinyonga.
Tena aje hapa tumsunte yaaani anaona sawa yeye anachofanya ila mwenzie inamuuma
 
Kumbe na wewe unayo mchepuko??? Sasa si usamehe tu, sasa unahukumuje wakati wewe pia unachepukaga??
Kuchepuka ni kuchepuka tu regardless ni nani umechepuka naye
 
Una makosa na rekebisha msameheane
Kwanini unataka amsamehe wakati hata yeye ni mkosaji?
Kwa nini wasianze upya kila mtu kivyake?

Mbaya zaidi vijana wakijua ni mke wa mtu tu lazima wafumue rindaaa dah
 
Ndio wasameheane wote
 
Wanaondoa wengi wanavumiliana kwa sababu ya watoto..
Watoto bado wadogo hao..

Kama mnaishi nyumba kubwa, hakuna haja ya kumfukuza..
Hama chumba, jitengee chumba chako...kaa kimya na mambo yako...

Ukitaka kutoka, toka kimya kimya na asikuhoji why..

Matumizi ya familia mpatie ikiwezekana mtumie kwa mpesa japo mpo nyumba moja.

Hudumia wanao...

Kwa adhabu hii lazima atajirudi, na asipo jirudi ataondoka mwenyewe na weww utakuwa kwenye upande salama kuwa Hujamfukuza bali kaondoka mwenyewe.
Huu ushauri mzuri, bila shaka mhusika ataufuata
 
Tatizo mkeo Ni kiburi, kwa vile we nae Ni msaliti angejishusha akakiri makosa yake ulivyo mtaratibu ungemsamehe ila kajitia jeuri sasa maana yake hatoacha kuchepuka,,

Kama Ni chai utajijua mwenyewe
 
Sasa nani ataiombea familia baraka kama mm ni mzinzi na mke wangu mdomo wake umejaa mbegu za wanaume wengine?

Halafu mwanamke mzinzi anaweza pata saratani ya kizazi sababu ya kubadili mwanaume, wanaume wanabeba virusi vya saratani ila haviwadhuru sasa akipata atakupa gharama tu za matibabu.

Mwanamke mzinzi HAFAI HATA AJE NA SABABU GANI.

Ukijifanya unajua kupenda sana kuna siku atakulisha mbegu, atatoka kunyonya huko ww utapiga busu.

life is short Enjoy.
Kweli ni jabali ushauli bora kabisa kazi kwake malaya habadiliki
 
Ngoma droo hiyo kaka sema mtese kipsychoLogy usilizungumzie tena kama kwamba hakuna kilichotokea atakuomba msamaha au yeye Ndio atasepa.Wote mmekutana wasaliti
 
Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa, we utombe tu nje, sasa yamekukuta ya kutombewa unakuja kulia lia hapa..

Kuwa mpole mkuu,

Unapotaka kufanya jambo jiweke wewe katika nafasi ya mfanyiwa,ukiona inaumiza usitende.. Ni kweli hatujakamilika, tunakosea saana, ila kitu kibaya zaidi kwako ile thread ya kwanza ulionesha wewe kuchepuka ni jambo la kawaida kwako na huhisi kama unamkosea mwenzio ni kama vile haki yako.

Kisa.
Mtu mmoja alimfata mtume(s.a.w) akiomba apewe nafasi azini sababu, kichupa kishajaa, akaulizwa vipi wew ukikuta dada, mke, mama, hata shemejio akiziniwa akapanic na kujitia anaweza mkata mtu kichwa, akaambiwa jitulize sasa, huyo unaetaka kwendakumzini ni aidha mke wa mtu, dada(mdogo) wa mtu ama ni mama yake mtu..
Mchizi ikabidi awe mpole.

Mnajua kwanini adhabu ya mzinifu aliyeoa na asiyeoa duniani ni tofauti.. Nyie mliooa mnajiendekeza saana, utakuta una mke mzuri lakini unaendekeza tamaa.. Ofcz tamaa tumeumbiwa, ila ni mtihani kwetu inabidi tuzishinde tu kwa kila hali, moja wapo ndio hiyo kuoa, na nyinginezo.

Yote kwa yote, zinaa mbaya..

Pole ndugu yangu, majanga kama hayo yapo, hapo ni ww kuamua kusuka au kunyoa..
 
Umenena ukweli japo najua kuna wapumbavu flan tutakupinga
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Pole sana kaka,Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu..Japo sijaoa but I feel your pain,pole sana
 
Msamehe ila msisitize asirudie tena ila hapo tatizo ni wewe kumbe ulikuwa na manzi ujue pia yeye aliumia roho ya kulipiza ikamuingia kama shetani alikuingia wewe kwanza sasa cha kufanya muende kanisani muwe watu wa ibada badili maisha yako kbsa yawe ya dua na sala hilo pepo litaondoka kbsa mapenzi yanauma sana kwenye usaliti si mke wala si.mume kumbukq ulianza wewe usaliti....maombi baba sala na dua halafu samehe kbsa mbona mtaisi vizuri kumbuka kutafuta mwingine unaibua tatzo kubwa zaidi kuliko unavyofikiri utaanza kuwa na watoto wasiopendana maana hawana mama mmoja yani vita hiyo usiombe ikupate bwana weee rudi kwa mkeo kanisani kuna majibu ya ndoa .
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Braza pole hata hao watoto usikute sio wako..ni ngumu lakini hakuna namna chukua hatua
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we fala umenifanya nicheke kiboya sana japo inauma mno mwamba alivofanyiwa na mke wake aisee, najaribu kukivaa viatu vyake vinanipwaya aisee
Hana haki ya kulalamika maana na yeye mzinzi. Malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom