Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

We unavokua juu ya kiuno kingine huaga unaona huruma? Tena mkeo mstaarab mimi nikigundua unacheat sikai kimya nakwambia kabisaaa nimejua na nalipiza tena mchana wa saa saba, na ukitaka tuachane fresh tu kafie mbele ya safari kwanza hasira yangu huaga haiishi hadi nilipize sasa kuliko nikufunike na mito usiku bora nikapate raha za dunia huko.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

KizaZ cha nyoka hichi
 
Ingawa kwa kisa hicho ni kweli mke ainaweza kuwa kafanya dhambi kubwa ya uzinifu lakini binafasi naona kama kisa tu cha kutunga.

Kwa maana hiyo, kwa mapungufu yoyote ya mkeo inabidi kwanza ujitazame wewe una mapungufu yepi katika kuishi nae.

Kwanza tujulishe huyo ni mkeo wa ndoa au ni mke wa kukubaliana wenyewe tu na hamkufunga ndoa aina yoyote ile, iwe ya kidini au kiserikali?

Bi Faiza sijatunga hiki kisa sina huo mda wa kutunga stori nilicho eleza hapa ni cha kweli kabisa Allah ananiona mimi mwislam.
 
Je wewe acha kutishia umma ingekuwa mimi unipige kudadadeki ningekufanyia maigizo ya kichina na kimeru na kiniger ningekufumua mpaka hicho kichaa kiishe shuwaini huyo mam anatakiwa akupeleke ustawi wakamii.

Wewe ni ngumi kabisa ,makofi seriously makofi ya mwanaume unayajua?

Wewe mwanamume ni muuwaji.
Kidudu mtu mkeo ameona unapenda Ksana .

Eti wanavuta bangi unatofauti gani na hao.
Unampiga mkeo .

Ex wangu alikuwa akijua unachepuka anakuita siku mko free mnakunjana mpaka ukisema umechoka anakuuliza huko hukuchoka acha hizo nataka usirudie tena.
Acha mikwara ya kwenye batani za simu.. Na kama umewahi kumpga mikwara hyo mwanaume live basi ni wale wanaume ambao ili akigegede lazma umtie kidole kwanza..

Lakn nakusihi usije ukajichanganya utajikuta unaishi bila meno au unapata kilema ukubwani.. Chunga sana
 
Pole sana mkuu...

Nime quote hapo kwenye hoja zake hiyo nambari mbili ....

"

Mkuki mtamu kwa nguruwe lakini kwa binadamu.... "
Hapo hapo nikitaka kuandika yaani mwanamme ana haki kuchepuka lkn mwananke hana haki kuchepuka ndio dini yetu Kiislamu umeruhusiwa kuoa hawa 4 hili ni kosa kubwa linalofanywa na wanaume wenzetu kujikimilisha haki ya kuchepuka kama unachofanya wewe na wewe utafanyiwa .Hilo ni kosa la mwanzo angalia watoto wako na kuna mengi mmefanya pamoja mm nakuomba usimuache na itakuwa adabu kwake hatafanya tena katika maisha yake ,yy sasa atakacho kifanya ni kurejesha trust kwako atabadilika vibaya mno kurejesha penzi lake kwako ,lakini inataka moyo sana .Mungu akusaidie Watoto ni baba na mama ikiwa unataka watoto wako wakue vizuri kama ni muislamu kaoe mke mwengine lkn usimuache.
 
Hivi wanaume kwnn huogopa sana kugongewa wake zao mwanaume bora umfilisi atakusamehe ila sio dhambi ya kumlala mkewe...lkn upande mwingine wanat...mbana huko nje vya kutosha mpaka p..mbu zinaomba poo ila wao wakigongewa ni kesi hasa mke why?sababu nini hasa?
 
Sikuwa na uvumilivu wa kiasi hicho nilitaka nimjuze kuwa ni mnafiki na nimemtambua na ndio ukawa mwisho! Alitumia uongo kufanikisha hilo ila still nilikuwa na machale zaidi nikagundua mpango muovu na kumfumania
Ungesubiri waanze kabisa ili ujifunze ulikuwa unakosea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheka mno! Ndio ukajifunza ukauzu sasa.
Hamna kitu utaniambia kuhusu mwanamke! Nina uzoefu nao wa ndani sana kuanzia psychology yao na vitimbi vyote. Wala huwezi nidanganya au kunifanyia usanii ntakuangalia tu ila naijua akili yako
 
Hivi wanaume kwnn huogopa sana kugongewa wake zao mwanaume bora umfilisi atakusamehe ila sio dhambi ya kumlala mkewe...lkn upande mwingine wanat...mbana huko nje vya kutosha mpaka p..mbu zinaomba poo ila wao wakigongewa ni kesi hasa mke why?sababu nini hasa?
Mke kutombwa nje haikubaliki duniani mpaka mbinguni. Hivi unalielezaje hilo mkeo awe anatiwa mtaa mzima unajua wewe kama dume rijali unajisikiaje? Iwe kwa bahati mbaya au makusudi
 
Mimi niko kwenye ndoa mwaka wa 11 sasa. Ndoa zinazingua najua. Japo umeingilia maamuzi ya wajumbe tayari kwa kuwaambia busara inabidi itumike,sijui umefanya nae mambo mengi. Ktk hilo tayari una maamuzi yako. Ila kimsingi kosa la kucheat kwa mwanamke halisameheki. Na hapo trip zako za mkoani utaliwa sana mkeo na kama una watoto nae,endelea tu kuwalea ksbb kitanda hakizai haramu.Vinginevyo amua kuyazoea. Kabisa hapo mke huna
 
Jamii imemfanya mwanamke aone kuwa ndoa ndo kila kitu, ukiachika unadharaulika...ung'ang'ane hapo hata Kama unateseka .
Mimi nionekane tu na kiburi lkn hata kama tuna miaka 40 ya ndoa huyu wangu ananijua kuwa nitasepa akinizingua. Narudi kwetu na aibu sioni.
Kukiwa hakuna amani na yeye haitafuti hiyo amani nabeba virago afanye jitihada za kunirudisha.

Kuwaendekeza hawa viumbe unaweza dharaulika hadi basi.
Yaani wanawake waliobarikkwa tako na sura utawajua tuu. Full konfidensi. Nimeipenda hii
 
Ingawa kwa kisa hicho ni kweli mke ainaweza kuwa kafanya dhambi kubwa ya uzinifu lakini binafasi naona kama kisa tu cha kutunga.

Kwa maana hiyo, kwa mapungufu yoyote ya mkeo inabidi kwanza ujitazame wewe una mapungufu yepi katika kuishi nae.

Kwanza tujulishe huyo ni mkeo wa ndoa au ni mke wa kukubaliana wenyewe tu na hamkufunga ndoa aina yoyote ile, iwe ya kidini au kiserikali?
Nyie wanawake mnajiona mna haki ya kuchepuka tu au sio
 
Tatizo mkeo Ni kiburi, kwa vile we nae Ni msaliti angejishusha akakiri makosa yake ulivyo mtaratibu ungemsamehe ila kajitia jeuri sasa maana yake hatoacha kuchepuka,,

Kama Ni chai utajijua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa mkuu, ila haibadili ukweli kuwa mke wa jamaa kabanjuliwa na wahuni, na jamaa ana maumivu ya kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utamfanya jamaa afe kwa stress wallah, mweeeeh
 
Back
Top Bottom