Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Sawa.

Lakin kabla hajatafuta mwingine inabid atafute tatzo ni nini mpaka mke kugawa mbususu nje,inawezekana mwanaume ndo akawa chanzo cha haya.

Kama unawaza kutafuta hela zaidi bila kufikiria jukumu la kuichakaza mbususu ya mkeo kila anapokuhitaji,lazima atafute wakuichakaza nje.
Tatizo huanzia hapo mme busy mapenzi anamgawia mchepuko kwa mke kiduchu 30℅, ila mwenyewe anajiona yupo sawa na anampenda mkewe kumbe kuna mapungufu, mchepuko nao huwa na mahaba kuzidi ili kumsahaurisha kwa mkewe! Ajichunguze sana kabla ya kuamua!
 
fukuza malaya uyo


ila bro, kapime ngoma , mke kawaka
Kwanini yeye anakochepukaga huwa anapima? Hapo tu aliwahi kurudi ili akalale kwa mchepuko, lakini nao sijui ukafanyaje yawezekana nao ulikuwa kwa mchepuko no.2 wakapoteana, ila MUNGU aliamua kumuonyesha kuwa kisu hicho nacho hugeuka
 
Mpaka dakika hii mtoa uzi haoni kosa lake, yani yeye yuko very innocent ila mwenye makosa ni mke [emoji3]. Safari bado ndefu
Kosa lake halioni kabisa, chakujiuliza yeye aliwahi kurudi kabla siku moja ili akalale kwa mchepuko, lakini shetani kamshitua [emoji13][emoji13][emoji13] mchepuko nao ulikuwa kwa mchepuko no.2 haa haa ndoa hizi kula uliwe
 
Exactly hiyo Karma ya uzinzi i akurudia maana yale unayotendea watu ndiyo yatakayokurudia. Na hii ni kanuni. Mtenda kutendwa inakuwa kosa
Na uzuri kasema mwenyewe mazingaombwe yameanza pale yeye alipo anza kuchepuka, MUNGU anakupa wakufanana naye, waume wengi ndiyo sababu ya kuwabadilisha wake zao tabia.
 
Kumchunga mtu mzima kazi sana. Jamaa kishaambiwa “mbona unamaliza haraka?” Si ajabu huyo mhuni anaipigiza K mpaka inatoka jasho [emoji23]kama kanogewa mhuni ni lazima apelekewe akamvue picchu.
Ila uaminifu huwa ni mzuri sana, mara nyingi ukianza kupata radha huko nje kwa mke ndani inakuwa bora liende kisa kamuoa hata akazurure atamkuta tu nyumbani na dharau juu matokea yake ndiyo hayo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Duhhh pole Sana broohh
 
kabunda88 ,

Piga chini huyo mwanamke, hana hadhi ya kuendelea kuwa mke wako. Ukimsamehe, basi umefungulia mateso na dharau.
Shida ya kula hiku unachati, yaani tumbo lanitetemeka naomba mola aniepushie hayaadhila maana sijui nitachukua maazi gani
 
Hahahahahaha mkuu maisha lazima yaendelee najaribu kumweka sawa tuplan jinsi gan tutalea watoto bila wao kuhis chochote kama tumetengana mwenzagu bado haamin kama namwacha
Muache bhanaa akapate utam kwa uhuru.
Haamini vipi na humtoshi hem muulize.
Hafu tuone kati yako na yeye nani atapata wa kumpeti peti
 
Muache bhanaa akapate utam kwa uhuru.
Haamini vipi na humtoshi hem muulize.
Hafu tuone kati yako na yeye nani atapata wa kumpeti peti

Kwny kuachana ukimwahi mwenzako kumwacha inauma zaid kwake
 
Hahahahahaha mkuu maisha lazima yaendelee najaribu kumweka sawa tuplan jinsi gan tutalea watoto bila wao kuhis chochote kama tumetengana mwenzagu bado haamin kama namwacha
Sawa mkuu..uendelee basi kutupa feedback sisi wadogo zako tujifunze kitu kabla ya kuwa full committed na swala la ndoa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Simu au sumu? Unasoma madudu kama haya halafu uwe na mke umuamini tu kwamba hafanyi kitu nyuma ya mgongo wako? Utalea watoto si wako.
Simu ya ndoa ni kumfuatilia mke
 
Simu au sumu? Unasoma madudu kama haya halafu uwe na mke umuamini tu kwamba hafanyi kitu nyuma ya mgongo wako? Utalea watoto si wako.
Don't take life that serious. U will die prematurely
 
Sijaoa Mkuu. Wewe kama una mke muamini tu hadi wahuni wamuone kama ni mke wao.
Kaka Kama mkeo anapigwa we hujui maana yake ni kwamba hapigwi. Ona Kama mtoa mada karudi home kwa kustukiza anakutana na balaa... Hao viumbe ndio maana Mungu aliwaita Hawa. ( Tamka Hawa????!!!!!)

Ishini nao kwa akili
 
Back
Top Bottom