Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Kumchunga mtu mzima kazi sana. Jamaa kishaambiwa “mbona unamaliza haraka?” Si ajabu huyo mhuni anaipigiza K mpaka inatoka jasho [emoji23]kama kanogewa mhuni ni lazima apelekewe akamvue picchu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan comments zako huwaga na mushkeli tyuuh lol
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ww cocastic au ndio mtuhumiwa nini mbona mkali hivyo[emoji12]!?
Hahahah jaman mie Mr wangu hanaga mambo ya kushtukizan, na mie siwezi kumsaliti, japo akisaliti nikijua lazima nilipize kisasi, naye anafahamu hilo.
 
Kweli wivu ninao wa kutosha aisee! Uzuri ni kuwa hatunaga tabia ya ukicheche tukiwa in serious relationships! Hasira ni asili kwetu wapare mie hasira zangu ni mbaya sana
Mmmmh kwenye kutulia hapo sidhan, ila sema ni wasiri mno tena mno, kwenye hasira mmejaliwa huhuhuh, maaan ni varangati tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmmh kwenye kutulia hapo sidhan, ila sema ni wasiri mno tena mno, kwenye hasira mmejaliwa huhuhuh, maaan ni varangati tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamnaga ujinga unaoruhusiwa
 
Fundi kushona si wanawala sababu mnajirahisisha kwao, amini kwamba usipojirahisisha kwa mtu hawezi kukula kizembe!
Hakna kujirahisisha wala nn, ukiona mwanamke anachepuka jua mwanaume kuna sehemu anakwama lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila tuache utani, tiba ya usaliti ni kisasi. Mie nilishamuambia nikijua ananisaliti lazima kisasi kiwepo, siwezi kusamehe bure sina huo moyo mie. Khaaaah
Sasa si bora uamue kuaga mahusiano tu
 
There is no need to HIDE THE TRUTH. Aliyeonja nyama ya mhuni hutamani kuonja tena. Hata kitaani nayaona haya na ndiyo sababu asilimia kubwa ya ndoa hazifikishi miaka mitano na ME wengi kuziogopa ndoa.
😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan comments zako huwaga na mushkeli tyuuh lol
 
Mahusiano yanaagwa kirahisi tyuuh? Mbna yeye wakati ananisaliti hakuaga mahusiano? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee mpare twende taratibu bas, lol
Mie kuliko ufanye huo usenge ni aheri unikatae tu baada ya kugundua cheatings
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakati mwingine si kweli bali ni tamaa tu na umalaya.
Hakna kujirahisisha wala nn, ukiona mwanamke anachepuka jua mwanaume kuna sehemu anakwama lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
There is no need to HIDE THE TRUTH. Aliyeonja nyama ya mhuni hutamani kuonja tena. Hata kitaani nayaona haya na ndiyo sababu asilimia kubwa ya ndoa hazifikishi miaka mitano na ME wengi kuziogopa ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanaume pia wakionja nyama ya slay queens na vidampa huko nje, wao sio hutaman ni kuzamia kabisa, ko ngoma draw hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi Ndoaaaaaaaaaaaaah? Mweeeeeh
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ujue wanaofanya huu upuuzi uendelee ni wanawake wanaoabudu ndoa kama pumzi, aisee me nakerekwaga hadi rohoni unakuta mtu anapitishwa kwenye moto ila yumo tu,ki ukweli mme wangu ananijua vizuri nihesimu nikuheshimu,nifanyie ushenzi nikuonyeshe ushenzi plus kama tulioana kwa mapenzi na makubaliano vikiisha kila mtu achukue njia yake watoto atalea hata akiwa mbali,siteseki kwa upuuzi mimi, nivumilie shida za maisha na ujinga wa makusudi nehi!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Punguza hasira
 
Ingawa kwa kisa hicho ni kweli mke ainaweza kuwa kafanya dhambi kubwa ya uzinifu lakini binafasi naona kama kisa tu cha kutunga.

Kwa maana hiyo, kwa mapungufu yoyote ya mkeo inabidi kwanza ujitazame wewe una mapungufu yepi katika kuishi nae.

Kwanza tujulishe huyo ni mkeo wa ndoa au ni mke wa kukubaliana wenyewe tu na hamkufunga ndoa aina yoyote ile, iwe ya kidini au kiserikali?
Faiza umekuwa adimu sana humu jamvini
 
Hahahaha tena wakijua ni mume wanaongeza na majonjo na umaridadi na mapishi ya hali ya juu. Si umeona humu jamaa wanataka kumuacha mke ili waoe HG? Mke kajusahau kama ni mke yeye na social media, tamthilia na marafiki zake. Mume akimgusa nimechoka, naumwa kichwa blah blah. Sisemi wanawake wote walio kwenye ndoa wanafanya hivyo la hasha lakini inakuwaje mtu uliyempenda saa zote kutaka kuwa naye wakati wa kudate akiomba papuchi saa yoyote hanyimwi lakini baada ya ndoa tu unabadilika. Makosa ndani ya ndoa yako pande zote mbili Mkuu.
Na wanaume pia wakionja nyama ya slay queens na vidampa huko nje, wao sio hutaman ni kuzamia kabisa, ko ngoma draw hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi Ndoaaaaaaaaaaaaah? Mweeeeeh
 
Back
Top Bottom