Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

This ustawi loan is one product which found on Hakika loan app this means the owner of Hakika loan app is the owner of
1. stawi loan.
2.Pesa wallet,
3.puff pesa,
4.pesa go
5.QZ PESA
6. EZ CASH

as all app I mentioned above use the code Mr finance when someone make payment
PesaX and BongoPesa they are same birds
 
Mngekuwa mnasoma kabla ya kucomment. Yeye hakukopa bali kapigiwa simu na wakopeshaji kuwa kuna jamaa yake amekopa na kanuweka yeye mdhamini kitu ambacho sio kweli hawa jamaa huwa wanatrack nimber zilizopo kwenye simu ya mkopaji na wanapigia kila aliye mtu wake wa karibu na kumwambia alipe deni kwa niaba.
Ungekuwa wewe ni kampuni ya ukopeshaji ungefanyaje?
 
hizo kampuni zina ushenzi mwingi sana. Nape dhibiti hizo takataka. yaani unayenidai ni mimi halaf unaingia kwenye phone book na kuanza kuwasumbua watu wangu, inahusu nini? unawatumia video zangu ili iweje? tulikubaliana hilo suala la udhalilishaji?
 
Ungekuwa wewe ni kampuni ya ukopeshaji ungefanyaje?
Unauliza swali kama mtoto wa darasa la kwanza. Unaanzishe kampuni kama huwezi hata kutambua vitu vidogo kama vile sifa za mdhamini? Alafu unategemea kupitia phone book ya mkopaji, Contact list ndo wakusaidie kudai deni kwa mtu ambaye mmekopeshana kwa makubaliano yenu wawili? Hizi APP zina exit tu kwenye nchi kama hizi za kwetu, ila kwa teknolojia ilivo lazima tutapiga chini.
 
hawa jamaa wanakera sana, wamewahi kunitukana na kusema mm mdhamini wa fulani, nikawaambia nilisain wapi mpaka mnifokee namna hii??? mnasema ntanipeleka polisi asipolipa??? nikisema simjui mna ushahidi gani?? mna uhakika nili consent niwe mdhamini??
Aisee, ikawa kama nimewachokoza, kila saa wanatuma meseji kwa namba nyingiii na tofaut tofaut... nilifuatilia ili nicukue hatua nikakuta hawana ofisi maalum

yaan ni wezi na wasumbufu ukiingia mkenge kukopa unalo
 
Umejiajiri au umeajiriwa?
 
Kwenda BOT ni endapo ningekuwa nahoji uhalali wa leseni zao, ila mimi sitaki kujua chochote kuhusu biashara zao. Mimi nataka kama wanahitaji kukopesha watu, wafuate taratibu wahakikishe wanayemkopesha anakopesheka na anaouwezo wa kulipa. Wadhamini wasainishe mikataba ya makubaliano kama kweli wanahitaji wadhamini.
sasa kama mtu kaandika namba yako kama mdhamini hapo TCRA wanahusika vipi na kulinda faragha yako??? au kama wew binfasi uliomba mkopo huko..
 
TCRA KAMA HAWA HUSIKI NA APP KWA NINI WAFATILIA APP YA YOUTUBE KWENYE CONTENT ZA WATU
 
sasa kama mtu kaandika namba yako kama mdhamini hapo TCRA wanahusika vipi na kulinda faragha yako??? au kama wew binfasi uliomba mkopo huko..
Duh Mungu ainusuru Tanzania naona imekuwa na kizazi cha wajinga wengi ambao hata kusoma Aya moja na kuelewa ni shida. Ni kwa jinsi gani utaweza tatua changamoto zako binafsi? Nakuelewesha kwa mara ya mwisho hakuna mahali nimeandikwa kama mdhamini bali wao wanaenda kwenye simu ya mkopaji na kuchukuwa namba zote za simu alafu wanatuma sms kwa kila aliyepo humo ndani. Mfano mwingine Mkurugenzi wa Jamiiforums ambaye ni mmiliki akope hela sehemu alafu yule mdai aje adai members wote wa jamiiforums. Nadhani umeelewa.
 
eehe bhasi hapo kazi unayooo...!! sema punguZa kukopaa mkuuu
 
eehe bhasi hapo kazi unayooo...!! sema punguZa kukopaa

eehe bhasi hapo kazi unayooo...!! sema punguZa kukopaa mkuuu
Sidhani kama kuna siku nitahitaji kukopa kiasi cha kuanzia milioni moja kwenda chini kwa taasisi ya mikopo. Hiyo ni hela ambayo naweza tu kumpigia mtu simu na kumwambia nina shida nayo na nikaipata, ila kwa kuwa tuko duniani lazima namba ya simu iwe kwenye simu za watu.
 
Restricting one App it won't help this guy has more than six Apps with different names
Yea, I’m aware. Turns out we managed to find out more about this app. Today, our CFO was messaged by another one of these fraudsters but they left their phone tracing to a company named Makto Information Service Limited; we Google Searched this business and it doesn’t appear to be in Tanzania, but rather in India, owned by two Chinese people.

C30A3782-DF2D-4AA5-B766-B3AA29170331.png
Keep in mind that he didn’t pay the person, he was just tracking the owner of the phone number. Normally, when registering a business name in BRELA. You can’t use the world Limited unless it’s a company, which makes sense as well.
5426B6E5-88EB-4747-BD78-0515C38E8491.png
From here, we see it appears to be an IT Company in India and as we know right now that India is the base of most scam activities worldwide, including money mules in the United States. They operate with plenty of scam operations there, even some mules end up in communication with the Chinese which is very absurd for them to be working with them on scams. Now let’s see the company directors:
952BAEE0-F064-4F28-BEAA-A976B744AF5B.png
These are two Chinese peoples names and as seen from the flag of their country as well, they’re from China. What’s even funnier is that when we read the dude his rights from Miranda Warning, he said never to text him again. Clearly, a sign of guilt, this person knew what he was doing was 100% fraud:

BBE7EB05-C16F-4A49-8A19-88DD68D5B6D6.png4261AAC4-14C3-4294-97B9-6B68F417C034.png4A84A4A5-9AA2-4613-B7DD-4C10BE0553DD.png
It’s very odd that he just suddenly said to stop texting him out of nowhere after asking for the boss information. The boss isn’t really our CFOs friend, we were just trying to elicit information out of him, but we seemingly blew our cover, but yeah. He’s sure he’ll have others texting him and he’ll try get more info.
 
hawa jamaa wanakera sana, wamewahi kunitukana na kusema mm mdhamini wa fulani, nikawaambia nilisain wapi mpaka mnifokee namna hii??? mnasema ntanipeleka polisi asipolipa??? nikisema simjui mna ushahidi gani?? mna uhakika nili consent niwe mdhamini??
Aisee, ikawa kama nimewachokoza, kila saa wanatuma meseji kwa namba nyingiii na tofaut tofaut... nilifuatilia ili nicukue hatua nikakuta hawana ofisi maalum

yaan ni wezi na wasumbufu ukiingia mkenge kukopa unalo
Ofisi zipo pale Millenium Tower
 
Ofisi zipo pale Millenium Tower
They appear to have many address, each of their apps, even though owned by the same people, have different addresses and the companies such as MR. FINANCE which they are impersonating and stealing their name. It’s very absurd. I’m sure MR. FINANCE is a victim, that’s why our CFO will be meeting them personally on Friday for questioning.

Also, we got some of our guys who are working in cybersecurity in the United States who have access to cameras in India and routers using Zero-Day Vulnerabilities. We are gonna see if they have anything relevant to that company in India so we can access the cameras and surveil their activities.
 
Back
Top Bottom