Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
- Thread starter
-
- #41
PesaX and BongoPesa they are same birdsThis ustawi loan is one product which found on Hakika loan app this means the owner of Hakika loan app is the owner of
1. stawi loan.
2.Pesa wallet,
3.puff pesa,
4.pesa go
5.QZ PESA
6. EZ CASH
as all app I mentioned above use the code Mr finance when someone make payment
Ungekuwa wewe ni kampuni ya ukopeshaji ungefanyaje?Mngekuwa mnasoma kabla ya kucomment. Yeye hakukopa bali kapigiwa simu na wakopeshaji kuwa kuna jamaa yake amekopa na kanuweka yeye mdhamini kitu ambacho sio kweli hawa jamaa huwa wanatrack nimber zilizopo kwenye simu ya mkopaji na wanapigia kila aliye mtu wake wa karibu na kumwambia alipe deni kwa niaba.
Unauliza swali kama mtoto wa darasa la kwanza. Unaanzishe kampuni kama huwezi hata kutambua vitu vidogo kama vile sifa za mdhamini? Alafu unategemea kupitia phone book ya mkopaji, Contact list ndo wakusaidie kudai deni kwa mtu ambaye mmekopeshana kwa makubaliano yenu wawili? Hizi APP zina exit tu kwenye nchi kama hizi za kwetu, ila kwa teknolojia ilivo lazima tutapiga chini.Ungekuwa wewe ni kampuni ya ukopeshaji ungefanyaje?
Umejiajiri au umeajiriwa?Unauliza swali kama mtoto wa darasa la kwanza. Unaanzishe kampuni kama huwezi hata kutambua vitu vidogo kama vile sifa za mdhamini? Alafu unategemea kupitia phone book ya mkopaji, Contact list ndo wakusaidie kudai deni kwa mtu ambaye mmekopeshana kwa makubaliano yenu wawili? Hizi APP zina exit tu kwenye nchi kama hizi za kwetu, ila kwa teknolojia ilivo lazima tutapiga chini.
sasa kama mtu kaandika namba yako kama mdhamini hapo TCRA wanahusika vipi na kulinda faragha yako??? au kama wew binfasi uliomba mkopo huko..Kwenda BOT ni endapo ningekuwa nahoji uhalali wa leseni zao, ila mimi sitaki kujua chochote kuhusu biashara zao. Mimi nataka kama wanahitaji kukopesha watu, wafuate taratibu wahakikishe wanayemkopesha anakopesheka na anaouwezo wa kulipa. Wadhamini wasainishe mikataba ya makubaliano kama kweli wanahitaji wadhamini.
Adaiwe aliyekopa.Ungekuwa wewe ni kampuni ya ukopeshaji ungefanyaje?
Msingi wa swali lako ni nini? Sitojibu tena comment zako naona zinanipotezea muda ni kama vile hujui unataka niniUmejiajiri au umeajiriwa?
Duh Mungu ainusuru Tanzania naona imekuwa na kizazi cha wajinga wengi ambao hata kusoma Aya moja na kuelewa ni shida. Ni kwa jinsi gani utaweza tatua changamoto zako binafsi? Nakuelewesha kwa mara ya mwisho hakuna mahali nimeandikwa kama mdhamini bali wao wanaenda kwenye simu ya mkopaji na kuchukuwa namba zote za simu alafu wanatuma sms kwa kila aliyepo humo ndani. Mfano mwingine Mkurugenzi wa Jamiiforums ambaye ni mmiliki akope hela sehemu alafu yule mdai aje adai members wote wa jamiiforums. Nadhani umeelewa.sasa kama mtu kaandika namba yako kama mdhamini hapo TCRA wanahusika vipi na kulinda faragha yako??? au kama wew binfasi uliomba mkopo huko..
eehe bhasi hapo kazi unayooo...!! sema punguZa kukopaa mkuuuDuh Mungu ainusuru Tanzania naona imekuwa na kizazi cha wajinga wengi ambao hata kusoma Aya moja na kuelewa ni shida. Ni kwa jinsi gani utaweza tatua changamoto zako binafsi? Nakuelewesha kwa mara ya mwisho hakuna mahali nimeandikwa kama mdhamini bali wao wanaenda kwenye simu ya mkopaji na kuchukuwa namba zote za simu alafu wanatuma sms kwa kila aliyepo humo ndani. Mfano mwingine Mkurugenzi wa Jamiiforums ambaye ni mmiliki akope hela sehemu alafu yule mdai aje adai members wote wa jamiiforums. Nadhani umeelewa.
Aliyekopa atikisiki, inabidi tuwataarifu marafiki zakeAdaiwe aliyekopa.
Siwezi kopeshq kijinga hivyo na kusumbua watu wengine ambao wao hawajahusika kukopa.Ungekuwa wewe ni kampuni ya ukopeshaji ungefanyaje?
Mliwashirikisha wakati wa kumkopesha?Aliyekopa atikisiki, inabidi tuwataarifu marafiki zake
YeahPesaX and BongoPesa they are same birds
eehe bhasi hapo kazi unayooo...!! sema punguZa kukopaa
Sidhani kama kuna siku nitahitaji kukopa kiasi cha kuanzia milioni moja kwenda chini kwa taasisi ya mikopo. Hiyo ni hela ambayo naweza tu kumpigia mtu simu na kumwambia nina shida nayo na nikaipata, ila kwa kuwa tuko duniani lazima namba ya simu iwe kwenye simu za watu.eehe bhasi hapo kazi unayooo...!! sema punguZa kukopaa mkuuu
Yea, I’m aware. Turns out we managed to find out more about this app. Today, our CFO was messaged by another one of these fraudsters but they left their phone tracing to a company named Makto Information Service Limited; we Google Searched this business and it doesn’t appear to be in Tanzania, but rather in India, owned by two Chinese people.Restricting one App it won't help this guy has more than six Apps with different names
Ofisi zipo pale Millenium Towerhawa jamaa wanakera sana, wamewahi kunitukana na kusema mm mdhamini wa fulani, nikawaambia nilisain wapi mpaka mnifokee namna hii??? mnasema ntanipeleka polisi asipolipa??? nikisema simjui mna ushahidi gani?? mna uhakika nili consent niwe mdhamini??
Aisee, ikawa kama nimewachokoza, kila saa wanatuma meseji kwa namba nyingiii na tofaut tofaut... nilifuatilia ili nicukue hatua nikakuta hawana ofisi maalum
yaan ni wezi na wasumbufu ukiingia mkenge kukopa unalo
They appear to have many address, each of their apps, even though owned by the same people, have different addresses and the companies such as MR. FINANCE which they are impersonating and stealing their name. It’s very absurd. I’m sure MR. FINANCE is a victim, that’s why our CFO will be meeting them personally on Friday for questioning.Ofisi zipo pale Millenium Tower