Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

Nadhani hapo mkopaji anatakiwa asi allow hiyo app husika kuwa na access ya contacts list na device husika hivyo unapo pakua nenda kwenye settings an disallow hapo hautaweza kupata contacts zako
 
TcRA wanashugulika na mawasiliano sio app ila ukitukana mtandaoni wanakutafuta kwenye hizo app
Mitandao ya simu wanayotumia kuliwa hela zao na wateja yanasimamiwa na nani kama sio TCRA?

Kwa maneno mengine, TCRA hawawezi kuyabana makampuni ya simu ambayo kwenye menu zao kuna option ya kulipa marejesho ya haya makampuni ya mitandaoni?
 
Hey boss how it ended????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…