Kwa wote mnaopinga hii issue ngoja niwapeni summary ya mbinu nlotumia. Huwa natoa mbinu kama hizi mara chache saaaana ila kwa kuwa mnaendelea kukataa ngojeni niwapeni siri ya mafanikio, hii itawasaidia wengine pia
Nilitaka kupima watoto wawili, mkubwa ana miaka mitano mwingine ana miaka miwili. Nikaingiza mmoja katikati asie wangu bila hata wakili wangu kujua, huyo dogo ana miaka minne. Hivyo sampuli zikapelekwa za watoto watatu. Majibu yakaja wale wawili ni wangu lkn huyu mwingine sio wangu.
Mnaweza kujiuliza kwa umri huo kwa nn nisiangalie kufanana, watoto ni wa kike na wamechukua kwa mama zao copy right kabisa (mama zao ni tofauti).
Siwezi jibu comment moja moja Cc
mama D dronedrake Upepo wa Pesa na wengine mnaoendelea kupinga.