Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

unakaaje miaka kadhaa hujui status kama bao ni lako , mie akizaliwa tu nakaa kama wiki tatu ntafuta kucha au mate hata damu hospitali ya second born nlitoa mamake akiwa hajui na test nafanyia Kampala , zote hurudi ni wangu , usifanyiwe utundu na mkeo kilaza , pima ujue mbivu na mbichi
 
Kipimo Cha kwanza Cha DNA ni macho yako Kama hakuna mfanano wa kitu chochote kwa Mtoto wako jua sio wako,hivyo vipimo kibongo bongo ni fake tu,Kama wewe ni Kidume chukua specimen kapime Nje but sio Bongo.Pole na Hongera.
 
Ila kumbuka sheria ya DNA inasisitiza majibu yazingatie ustawi wa mtoto/Watoto.
 
Kuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
Kweli kabsa,mtoto wako utamjua tuu no need of DNA ata mdomo mtafanana
 
Nachojua hutakuja wala hakuna mtu atakuja kuambiwa watoto sio wake.

Kama yupo aliyewahi kuambiwa au kusikia mtu kaambiwa watoto sio wake anyooshe mkono
 
Sijakuelewa
 
Una uhakika ni wakwako kweli!?
Wacha nisikuondolee raha zako🤣🤣🤣
DNA inakupa ukweli 99.99999%, hiyo 0.000001% wanamwachia binadamu anayeweza kukudanganya, maana tuliwahi kushuhudia mapapai yanaumwa covid
 
Usijihakikishie ushnd...narudia tena usijihakikishie ushnd...DNA isiyo na magumashi ni ile ukipata kaz USA xo if utaenda na watt wenye title yako lazma mpime DNA..wale jamaaa wapo real ila kwa bongo mhhhhhhhh
 
Uusiongee kwa ujasiri wakati hapo ulipo ukiambiwa yule ulieambiwa ni baba yako na mama yako waweza dhibitisha kweli ni baba yako

Wanawake sio wakuwaamini hata kama ni mama yako
 
Kma umefanya DNA kweny hospital zetu za Tanzania sikuungi mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…