Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.

Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.

Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.

Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.

Ciao
Kwenye ndoa zenu Kuna watoto wetu😅😅😅
 
don't trust human beings, sasa wangekuambia sio wa kwako ili walelewe na nani na ulienda sura imekomaa. ingekuwa majuu ningekubaliana na hilo ,ila hapa bongo, hahaha. pole. lea tu watoto mkuu.
 
Utaratibu mmojawapo kwenye utoaji wa majibu ya DNA ni;
Kuzingatia maslahi mapana ya kukua na kuendelea kwa watoto.
Pole Sana mkuu
 
Back
Top Bottom