Nimecheka 😆
Kwa maana hiyo mleta mada alikuwa haiwezi shughuli vzr mpaka mkewe akatafute usaidizi nje🤭
Mambo ya wazungu ya trauma yametua na Bongo.
Mtu ukulie vingunguti au tandale kwa tumbo uswahilini badae uje useme una trauma au mtoto wa kiume mbele za watu useme una trauma, Hell NO.
Hmm hapana ni kujikaza tu wanawake wengi wavumilivu! Wengine huchepuka😃Shughuli anaweza akawa anaijua ama hata kama haijui...ukishaolewa si inakuwa umekubaliana na hali zote za mume?
Huyo unapoteza muda kushauri, ni mwanaume kutukoMkuu hebu jitahidi u-focus na majukumu yako ya kila siku na upuuze huo Ujinga anaoleta huyo mshenzi.
Hilo unalotaka kulianzisha (usuluhishi) litakuchukulia muda wako na hakuna faida yoyote utapata.
Be a Man, Stay Taliban. You are not that special.
Hapo inakuwa noma sanaWanaume wenyewe kama mleta uzi nitawezea wapi mimi?? 😹😹😹
Udhaifu huo sio ushambaImagine
Kuna watu sijui ni ushamba wa mapenzi
Kitumbua wajuba wamekitafuna afu yeye anataka huruma za kijinga..!! 😹😹😹Kusikia kwa kenge hadi masikio yatoboke.
Hataki kusikia ukweli kuwa mkewe alienda kugawa utamu.
Machozi kuyaamini sio tatizo, mwanamke anaweza kulia kwa kufiwa kwann usimuamini kama kweli ana uchungu??Anayaamini machozi ya mwanamke dah
😹😹😹Mwamba kuacha hawezi na mwanamke kashajua jamaa hafurukuti ng'ooo
Itakuwa style ya 'Popo kanyea mbingu'.😹😹😹
Sijui kampa style gani?
Nikiolewa nataka awe kungwi wangu anifundishe mizungu hiyo…! 🤣😹
Maokoto muhimu wewe babu 😹😹Tatizo lako ni kuweka kazi mbele ya maisha mengine, unawaza pesa tu hadi unaona kuvua hicho kibikini ni kumfaidisha mwanaume, kumbe ni hitaji lako la msingi.
Halafu ujue, siku zote utabaki chini ya kidume, hata kiwe fukara 🤣🤣
😹😹😹 Hivi hii style kweli ipo au watu wanaongeza chumvi kututisha wana wa Israel 🤣Itakuwa style ya 'Popo kanyea mbingu'.
Waswahili kwa mikwala huwawezi.😹😹😹 Hivi hii style kweli ipo au watu wanaongeza chumvi kututisha wana wa Israel 🤣
Unajua kuyakata mauno au unajikalia juu tu🤣🤣Maokoto muhimu wewe babu 😹😹
Mi sipendi kuwa chini, hata kwenye game lazima niforce nipige women on top…
😹😹😹 Wee unataka nitoe siri nionekane msungo sasa..!!Unajua kuyakata mauno au unajikalia juu tu🤣🤣
😹😹😹Waswahili kwa mikwala huwawezi.
Kutishana tu, ukiogopa unakimbia mechi.
Muombe konneksheni😹😹😹
Sijui kampa style gani?
Nikiolewa nataka awe kungwi wangu anifundishe mizungu hiyo…! 🤣😹
Mwendo kaumaliza, dalili mbaya sana hizoMachozi kuyaamini sio tatizo, mwanamke anaweza kulia kwa kufiwa kwann usimuamini kama kweli ana uchungu??
Shida huyo wa kiumeni mwenzenu kakolea kwa mkewe na hana sauti..!!
Hakuna kitu hapo, wanawake wanaotafuta sana pesa hawajui mapenzi wala!🤣😹😹😹 Wee unataka nitoe siri nionekane msungo sasa..!!