Kwa screen shots ulizoweka,jamaa kasema kama huamini,alikutaka uende Arusha,ila ukiwa na hiyo pesa,lakini pia aliandika kua yawezekana baadhi ya watu wa uongozi pale sheli,wanataka walau pesa ya kula,ndomaana wamesema laki na 30 ya yunifom.Anyway huyo wiztech,aje ajitetee hapa kama hakua na nia ya kutapeli.Hii itamsafisha.
Ndomaana nasema huyo wiztech,aje atie neno, yawezekana yeye hakua na nia ya kutapeli,ila wenzake wa huko sheli,walikua wanataka cha juu kwa njia ya YA YUNIFOMU.Mshahara wa mtu sheli ni laki mbili au laki moja na nusu ,uniform ni bure wanapewa na kampuni
Kumpa mtu kazi na kumuomba pesa ni utapeli
Ata yy ndo alikuwa anagongelea msumari nitume iyo ela fundi yupo Dukan sasa anunue sare MDA uo n saa11 nayy ndo muhisik anasema Tuma tuNdomaana nasema huyo wiztech,aje atie neno, yawezekana yeye hakua na nia ya kutapeli,ila wenzake wa huko sheli,walikua wanataka cha juu kwa njia ya YA YUNIFOMU.
Na alinihaidi mshahar WA shel ntakuwa nalipwa laki mbil Na elf 20 Na bonus zipo pia kutakuwa Na nyumba Za kulala Za bure Mimi Tu kwenda kufanya kazi pia vilevioe amesema kuhusu vitu vyangu vya hapa dar nisiuze nipelek buza ananyumba IPO empty nikaviweke Ni sehemu sahihi sanaNdomaana nasema huyo wiztech,aje atie neno, yawezekana yeye hakua na nia ya kutapeli,ila wenzake wa huko sheli,walikua wanataka cha juu kwa njia ya YA YUNIFOMU.
Watu ni hatari sana.Na alinihaidi mshahar WA shel ntakuwa nalipwa laki mbil Na elf 20 Na bonus zipo pia kutakuwa Na nyumba Za kulala Za bure Mimi Tu kwenda kufanya kazi pia vilevioe amesema kuhusu vitu vyangu vya hapa dar nisiuze nipelek buza ananyumba IPO empty nikaviweke Ni sehemu sahihi sana
Ulikuwa unavutwa utume hiyo laki na 30Na alinihaidi mshahar WA shel ntakuwa nalipwa laki mbil Na elf 20 Na bonus zipo pia kutakuwa Na nyumba Za kulala Za bure Mimi Tu kwenda kufanya kazi pia vilevioe amesema kuhusu vitu vyangu vya hapa dar nisiuze nipelek buza ananyumba IPO empty nikaviweke Ni sehemu sahihi sana
Mtag kabisa wala usiogopeAbatumia Jina la wiztech umu jf
Zile huwa zina uwezo wa kukuokoa pale ambapo majanga ya moto yatayokea ukiwa sheli, 130K inaweza kufika.[emoji23][emoji23][emoji23] ilaa watu… haya huyo tapeli popote alipo tunamsabahi.
Ana utapeli wa kishamba
Sasa zile uniform za sheli ndo zinacost 130k??
Hajajua hata kucheza na uhalisia.. em litaje kwanze walipopoe
Hukumlalamikia bro mbona unanipotezea kazi aisee?[emoji2]Lina uwizi wa kibouyah
[emoji23][emoji23]
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee
Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
[emoji23][emoji23]
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
[emoji1787][emoji1787] wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
Duuuh! kama ni hivyo,ni dhahiri kabisa,alikua na nia ovu.Pole sana kwa yeye kutumia matatizo yako Kama fursa.Ndo walimwengu hao.Ata yy ndo alikuwa anagongelea msumari nitume iyo ela fundi yupo Dukan sasa anunue sare MDA uo n saa11 nayy ndo muhisik anasema Tuma tu
Nyete alijua kutapeli watu wazina humu lol🤣🤣🤣Mods wana utaratibu mzuri tu wa kuwafutia account matapeli, niliona kuna mmoja alikuwa anajifanya muhitaji anaomba msaada anasaidiwa hata mimi pia nilimsaidia, akalalamikiwa na watu kuwa ni tapeli Id yake ilifungiwa.
@wiztechS
Pole sana , ila kuna watu wa hovyo ndio maana unakuta mtu siku zote ana majanga au anakufa kifo kibaya ndio hivi mtu ana shida na wewe unataka kumdhulumu
Huyo tapeli anika ID yake tumjue
Kwani akimtukana hayo matusi yatampunguzia nin mleta mada?Tunajua atakutukana sana PM ikiwezekana funga pm ukimtaja
Wazembe sana hao jamaa iliwahi nikuta pia nakumbuka nilipaki nikaaga hadi washkaji 😂Lina uwizi wa kibouyah
😂😂
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee
Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
😂😂
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
🤣🤣 wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
Ukome 😂😂😂😂😂Naomba usinitaje mkuu nitaficha wap sura yangu😭
Hivi nawe kumbe ni mkorofi 🤣🤣usiende kumtongoza halafu akukubalie mwisho wa siku umuache njia panda aje tena na mrejesho wa kulialia mtaji umeliwa na yeye mwenyewe kaliwa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app