Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Kwa screen shots ulizoweka,jamaa kasema kama huamini,alikutaka uende Arusha,ila ukiwa na hiyo pesa,lakini pia aliandika kua yawezekana baadhi ya watu wa uongozi pale sheli,wanataka walau pesa ya kula,ndomaana wamesema laki na 30 ya yunifom.Anyway huyo wiztech,aje ajitetee hapa kama hakua na nia ya kutapeli.Hii itamsafisha.

Mshahara wa mtu sheli ni laki mbili au laki moja na nusu ,uniform ni bure wanapewa na kampuni
Kumpa mtu kazi na kumuomba pesa ni utapeli
 
Ndomaana nasema huyo wiztech,aje atie neno, yawezekana yeye hakua na nia ya kutapeli,ila wenzake wa huko sheli,walikua wanataka cha juu kwa njia ya YA YUNIFOMU.
 
Ata yy ndo alikuwa anagongelea msumari nitume iyo ela fundi yupo Dukan sasa anunue sare MDA uo n saa11 nayy ndo muhisik anasema Tuma tu
 
Ndomaana nasema huyo wiztech,aje atie neno, yawezekana yeye hakua na nia ya kutapeli,ila wenzake wa huko sheli,walikua wanataka cha juu kwa njia ya YA YUNIFOMU.
Na alinihaidi mshahar WA shel ntakuwa nalipwa laki mbil Na elf 20 Na bonus zipo pia kutakuwa Na nyumba Za kulala Za bure Mimi Tu kwenda kufanya kazi pia vilevioe amesema kuhusu vitu vyangu vya hapa dar nisiuze nipelek buza ananyumba IPO empty nikaviweke Ni sehemu sahihi sana
 
Watu ni hatari sana.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Na alinihaidi mshahar WA shel ntakuwa nalipwa laki mbil Na elf 20 Na bonus zipo pia kutakuwa Na nyumba Za kulala Za bure Mimi Tu kwenda kufanya kazi pia vilevioe amesema kuhusu vitu vyangu vya hapa dar nisiuze nipelek buza ananyumba IPO empty nikaviweke Ni sehemu sahihi sana
Ulikuwa unavutwa utume hiyo laki na 30
Uniform wanatoa bure kaulize kwenye sheli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ilaa watu… haya huyo tapeli popote alipo tunamsabahi.
Ana utapeli wa kishamba
Sasa zile uniform za sheli ndo zinacost 130k??
Hajajua hata kucheza na uhalisia.. em litaje kwanze walipopoe
Zile huwa zina uwezo wa kukuokoa pale ambapo majanga ya moto yatayokea ukiwa sheli, 130K inaweza kufika.

[emoji1]
 
Lina uwizi wa kibouyah
[emoji23][emoji23]
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee

Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
[emoji23][emoji23]
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
[emoji1787][emoji1787] wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
Hukumlalamikia bro mbona unanipotezea kazi aisee?[emoji2]
 
Mods wana utaratibu mzuri tu wa kuwafutia account matapeli, niliona kuna mmoja alikuwa anajifanya muhitaji anaomba msaada anasaidiwa hata mimi pia nilimsaidia, akalalamikiwa na watu kuwa ni tapeli Id yake ilifungiwa.
Nyete alijua kutapeli watu wazina humu lol🤣🤣🤣
Akina Mshana wote, na watu wengi tu wenye roho zao nzuri walituma michango.

Kumbe ameenda hospital kapiga picha mtoto wa watu mahututi,, akatumia hizo picha kutapeli watu.

Unakuta mtu anasema uongo na wizi ni dhambi za kawaida.
 
Lina uwizi wa kibouyah
😂😂
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee

Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
😂😂
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
🤣🤣 wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
Wazembe sana hao jamaa iliwahi nikuta pia nakumbuka nilipaki nikaaga hadi washkaji 😂
 
Back
Top Bottom