Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kwa screen shots ulizoweka,jamaa kasema kama huamini,alikutaka uende Arusha,ila ukiwa na hiyo pesa,lakini pia aliandika kua yawezekana baadhi ya watu wa uongozi pale sheli,wanataka walau pesa ya kula,ndomaana wamesema laki na 30 ya yunifom.Anyway huyo wiztech,aje ajitetee hapa kama hakua na nia ya kutapeli.Hii itamsafisha.
Mshahara wa mtu sheli ni laki mbili au laki moja na nusu ,uniform ni bure wanapewa na kampuni
Kumpa mtu kazi na kumuomba pesa ni utapeli