Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Mkuu Nasu nakusihi Sana fuata ushauri huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni changamoto,
Naona ameogopa kusema " chini ya hapo awe na PESA zaidi yangu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama bado ina elasticity ya kufinyia kwa ndani, naomba ni pm, hiyo ndio option iliyobaki kwangu, nimetafuta bikra mpaka nimechoka.
 
Me sijakuelewa kwa hiyo hizo pm nyingi ulizopata bado ulikosa.
Labda ungesema waliokuja walikuja huku wakijua fika vigezo hawana au ulikutana na nini?
Ye anafanya interview kwa kuangalia mwandiko, badala shughuli ya kitandani.
 
Hapana sio Mimi Mkuu... Kama umemuelewa vzuri just go, kutoa namba kwa MTU mmoja, Ila Bado atatoa namba ili mradi tu uwe na Interest ya kweli na dhati.


Naapa kabisa,sio mimi.. Mimi wangu hajazaliwa
 
Mtaani kwako unawaona lakini hujawapenda
Kazini kwako unawaona lakini hujapata vigezo
Sehem za ibada uko nao lakini hujakubali imani yao
Ulikozaliwa unawajua lakini hawakutoshi
Matembezini unakutana nao lakini hawakufai

Huku online huwaoni ndio watakufaa? Jaribu kufikiria sehem hizo kama hujapata basi hata mtandao hutapata wa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wewe ulishapata? Maana kama unaniona kwenye nyuzi hizi maana yake na wewe pia hupitwi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hua nasoma kimya kimya

I can feel the pain

Mi nilishaoa more than 5 years now....

Ila nina mdogo wangu wa kike anaenifuata,aisee I can feel her pain aisee!

I wish apate mtu wapambane...

Its really depressing,namuona hana raha kabisa,kwavile ni sibling wangu najikuta na mimi inaniuma!

Such a bad period hasa kwa ladies!
 
Kila la kheri, mola akisaidie umpate mwanaume wa maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…