Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Ongezea hiki kipengele [emoji1540][emoji1540][emoji1540]Kwenye post yako....usishangae ukiulizwa na size ya kiatu kama sio bust/waist/hip.
Kila la kheri.
Sisi mabaharia huwa tunaulizia bust ili kujua size ya nyonyo.

Na waist ili kujua kama ana "chura"

Over...
 
Umeoneee!! Niliwaza hivyo hivyo kwa sauti ya kunong'ona.

Hawa ndiyo wanaiga uzungu kwa kutembea na bichikoma mtaani kwa kisingizio cha kwenda na wakati kipimo kikiwa kiwango chake cha elimu.

La kushangaza ni kwamba, umeshindwa ku-identify mume physically huko unakotembea; badala yake unatuma maombi mtandaoni halafu uje uchague kwa usaili wa maandishi na utegemee kumpata wa vigezo vyako. Halafu vetting utafanya kwa muda gani? Au vigezo tu vinatosha?
Huko ni kubahatisha.

Hata hivyo nakutakia kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe huna vigezo tajwa katika mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenzako alichagua sana matokeo yake alipoangukia mpaka leo anajuta kuwa mchaguzi. Mimi nipo Dodoma ila sio Mkristu na hata ukinipenda tutaenda kuoana kimila sitaki mambo ya imani ya dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifaa zote ninazo ila moja sina 'sishauriki' je naruhusiwa kuja pm?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…