Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Mwenye hela hutaki nkupe connection kwa Kiduku Lilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliweka na bado umekosa mpaka sahivi my dia angalia na hao wa huko mtaani kwenu.
Check na Ex zako
Check na co workers
Kacheck pia na huko unakoenda kuamia "Dodoma
Check na wakanisani
Btw kila la kheri
Mumekalia kuwakatisha tamaa wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katangaze kanisani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…