Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Habari za muda huu wana jf

Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).

Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya

Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)

Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi

Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika

Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)

Hayo nafikiri yanatosha

Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye hela hutaki nkupe connection kwa Kiduku Lilo

katangaze kanisani mkuu
 
Back
Top Bottom