Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Kwa mama mjamzito inafaa..!?!
 

Za kujichimba na za bahari zinapatikana wapi mkuu, au ndio zile zinazouzwa kwenye kila palipo na soko kuu?
 
SIKUSHAURI kabisa hutaona wachawi tuu utaona kila kitu kisichoonekana kwa macho ya nyama... Mwisho utaishia kuwehuka

Jr[emoji769]
Kwani ukiona Lazima uweuke Mshana.? Natamani Sana kuona hayo Mambo maana sijui kwanini tilifumbwa, Ni Mungu au Shetani Aliyetuumba tusione?
 
Kwani ukiona Lazima uweuke Mshana.? Natamani Sana kuona hayo Mambo maana sijui kwanini tilifumbwa, Ni Mungu au Shetani Aliyetuumba tusione?
Lazima kwakuwa utaona vingi vya ajabu ambavyo wengine hawavioni na utaviona katikati ya watu
 
ulifanyaje huo mchanganyiko wa chumvi na limau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…