Mrejesho: Nilisema nitamwambia brother kuhusu mke kumsaliti


Wanajeshi na Wake zao huwa wanashindana kuchepuka, usikute shemeji yako alikuwa anamegwa na mjeda ambaye ni rafikiwa kaka yako.
 
Sasa mbona kama unajisemesha mwenyewe kwenye branket?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kijana..sema makamanda nao utakuta wanakaa huko mwaka mzima so katika hali ya ubinadam mwanamke lazima aingie matamanio kwa sababu za kimazingira na vyakula so kugongewa hakukwepeki hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi kama ni kweli uhame kwa kaka yako la sivyo utapoteza uhai kama panya kwa sumu.Unazani shemeji yako ni bongolala kwakuwa umemsetup.
 
Upuuzi kama ni kweli uhame kwa kaka yako la sivyo utapoteza uhai kama panya kwa sumu.Unazani shemeji yako ni bongolala kwakuwa umemsetup.
Mkuu mimi sikai kwa kakangu,najitengemea mwenyewe,nilianza kujitegemea baada tu kumaliza chuo,na wala hakuna anayejua kama mi ndo nilimtonya brother,na mpaka sasa hivi shemeji amenipigia simu yupo hotel fulani na kaka ameniambia nimwambie arudi nyumbani na tayari nimeshazungumza na brother,na hawezi kumpiga mke wake,maana mwanaume ndo alimshawishi shemeji na brother yuko njiani kuelekea kwenye majukumu yake,nimemwambia shem nitakupitia hapo jioni nikupeleke home.tunafanya mambo kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…