Mrejesho: Nimepata mke kupitia jukwaa hili la Love Connect

Mkuu badilisha "heading". Mchumba si mke. Mchumba hana mkataba na wewe.
Sema unashukuru kupata mchumba na huenda msifikie malengo tarajiwa, maana kuna michakato mingi kabla ya kufikia ndoa.
 
Mkuu badilisha "heading". Mchumba si mke. Mchumba hana mkataba na wewe.
Sema unashukuru kupata mchumba na huenda msifikie malengo tarajiwa, maana kuna michakato mingi kabla ya kufikia ndoa.
Asante kwa taarifa mkuu ila michakato yote nimefanya na sasa nipo kwa bus from moshi kwa ajili hiyo mkuu
 
hongera sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…