Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Asante sana mkuu kwa kutambua hilo maana watu wamekua wanatuponda tu sisi
 
Hongera sana mkuu kwa inspired story ya hustling, hakika nimejifunza vitu kadhaa toka kwako mwamba.! Unafaa kutengeneza story in series hata kitabu mkuu juu ya safari ya maisha yako.!

Hongera sana kwa uthubutu karibu arusha na manyara tulime maharage na ngwara..
Tutafutane nipo mwese mkuu
 
Mechi ya masela wa mwese na WA lubalis
 

Attachments

  • PXL_20240526_140723926.PORTRAIT.jpg
    3.2 MB · Views: 27
Naomba namba yako mkuu, unipe full A B C za huko kabla sijavaa silaha za kazi
 
Una omba hifadhi Kwa Wana kijiji
Naomba kuuliza;
Vp hao wanakijiji wanakuamin tu na kukupa hifadhi au inabidi uwe na document fulan uwaoneshe?

Kingine,
Kwny hii biashara ya mazao ukienda kijjn ambako ndo mara ya kwanza humjui yyte yan unaanzia wapi. Mana hujui nan ana mazao unayohitaji kwa hyo inakuaje yaan unaanza kupita nyumba kwa nyumba kuulizia au?

Na kingne, mfano mm nahtaji gunia 5 za zao fulan na nikakuta kuna mtu ana debe 2 mwngne 3 mwngne ana debe 1, je wakat nazikusanya ili zitimie gunia 5 nazihifadhi wapi? Kunakuaga na stoo za kuhifadhia au vp?
 
Kijijin watu sio wa choyo kukupa hifadhi ya kulala vyema ukalala Kwa mtendaji usalama store watu wanakula eneo la kutunza mzigo maeneo yapo mengi kununua pole pole inafanyika watu wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…