Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mkuu Nina kahela kidogo tuuShuka lubalis pesa kama Iko debe 30000 huku ukiwa na pesa una walalia wameanza vuna watu wako busy na pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Nina kahela kidogo tuuShuka lubalis pesa kama Iko debe 30000 huku ukiwa na pesa una walalia wameanza vuna watu wako busy na pombe
Shuka lubalis pesa kama Iko debe 30000 huku ukiwa na pesa una walalia wameanza vuna watu wako busy na pombe
Debe 30000 una shuka nao japo wengi Wana hofu njaaa wanauza Kwa woga wengi wameanza limamaharage yabondeMsimu huu wa kuvuna maharagwe ni bei kwa sasa huko?
Poa mkuu ngoja tujaribu tuone.Debe 30000 una shuka nao japo wengi Wana hofu njaaa wanauza Kwa woga wengi wameanza limamaharage yabonde
Haya ni maharage gani debe 30000?Shuka lubalis pesa kama Iko debe 30000 huku ukiwa na pesa una walalia wameanza vuna watu wako busy na pombe
Ya njanoHaya ni maharage gani debe 30000?
Kuna vyumba vya kuishi huko?Ya njano
Asante sana mkuu kwa kutambua hilo maana watu wamekua wanatuponda tu sisiHahahaha mkuu umenitonesha wakati Niko kule porini nimepiga sana ela za wasukuma yani unakuta amechezea simu na amefunga mtandao hapati mawasiliano anakuja kwangu utaskia vp bwana Ngosha na Mimi niambie bwana Ngosha maana walinizoea sana na walikuwa rafiki zangu sana. Utaskia simu yangu imeharibika bwana Ngosha naomba uiangalie. Kucheki unakuta amefunga mtandao, na Mimi kuzuga namwambia ebu iache utakuja badae nitatengeneza. Badae akirudi anakuta kitu inasoma anatoa 5000 anasepa,usimdharau msukuma wa maporini unaweza kumuona mchafu ananuka maziwa lakini anataembea na kibunda Cha ela mfukoni au anaela ndani za kutosha tu. Msukuma ni mtu poa sana hawanaga roho za unafiki kabisa kwenye utafutaji Yani mkiwa marafiki chochote ukitaka kwake atakupa. Na ukienda kufanya kilimo huko mwenyeji wako akawa msukuma Yani atakupa ushirikiano Kwa kiwango kikubwa hawanaga roho za kinyongo na unafiki.
DohYa njano
Na wewe umelima hukohuko katavi kama kwa mtoa mada?Ya njano
Debe 30000 una shuka nao japo wengi Wana hofu njaaa wanauza Kwa woga wengi wameanza limamaharage yabonde
Tutafutane nipo mwese mkuu
Una omba hifadhi Kwa Wana kijijiKuna vyumba vya kuishi huko?
Yes nimelima na kuvuna napita kijiji Cha mtoa madaNa wewe umelima hukohuko katavi kama kwa mtoa mada?
Kijiji kinaitwaje?Yes nimelima na kuvuna napita kijiji Cha mtoa mada
Naomba namba yako mkuu, unipe full A B C za huko kabla sijavaa silaha za kaziHongera sana mkuu kwa inspired story ya hustling, hakika nimejifunza vitu kadhaa toka kwako mwamba.! Unafaa kutengeneza story in series hata kitabu mkuu juu ya safari ya maisha yako.!
Hongera sana kwa uthubutu karibu arusha na manyara tulime maharage na ngwara..
Naomba kuuliza;Una omba hifadhi Kwa Wana kijiji
Vp hao wanakijiji wanakuamin tu na kukupa hifadhi au inabidi uwe na document fulan uwaoneshe?
Kijijin watu sio wa choyo kukupa hifadhi ya kulala vyema ukalala Kwa mtendaji usalama store watu wanakula eneo la kutunza mzigo maeneo yapo mengi kununua pole pole inafanyika watu wanafanyaNaomba kuuliza;
Kingine,
Kwny hii biashara ya mazao ukienda kijjn ambako ndo mara ya kwanza humjui yyte yan unaanzia wapi. Mana hujui nan ana mazao unayohitaji kwa hyo inakuaje yaan unaanza kupita nyumba kwa nyumba kuulizia au?
Na kingne, mfano mm nahtaji gunia 5 za zao fulan na nikakuta kuna mtu ana debe 2 mwngne 3 mwngne ana debe 1, je wakat nazikusanya ili zitimie gunia 5 nazihifadhi wapi? Kunakuaga na stoo za kuhifadhia au vp?