Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Hahahaha mkuu umenitonesha wakati Niko kule porini nimepiga sana ela za wasukuma yani unakuta amechezea simu na amefunga mtandao hapati mawasiliano anakuja kwangu utaskia vp bwana Ngosha na Mimi niambie bwana Ngosha maana walinizoea sana na walikuwa rafiki zangu sana. Utaskia simu yangu imeharibika bwana Ngosha naomba uiangalie. Kucheki unakuta amefunga mtandao, na Mimi kuzuga namwambia ebu iache utakuja badae nitatengeneza. Badae akirudi anakuta kitu inasoma anatoa 5000 anasepa,usimdharau msukuma wa maporini unaweza kumuona mchafu ananuka maziwa lakini anataembea na kibunda Cha ela mfukoni au anaela ndani za kutosha tu. Msukuma ni mtu poa sana hawanaga roho za unafiki kabisa kwenye utafutaji Yani mkiwa marafiki chochote ukitaka kwake atakupa. Na ukienda kufanya kilimo huko mwenyeji wako akawa msukuma Yani atakupa ushirikiano Kwa kiwango kikubwa hawanaga roho za kinyongo na unafiki.
Asante sana mkuu kwa kutambua hilo maana watu wamekua wanatuponda tu sisi
 
Hongera sana mkuu kwa inspired story ya hustling, hakika nimejifunza vitu kadhaa toka kwako mwamba.! Unafaa kutengeneza story in series hata kitabu mkuu juu ya safari ya maisha yako.!

Hongera sana kwa uthubutu karibu arusha na manyara tulime maharage na ngwara..
Tutafutane nipo mwese mkuu
 
Mechi ya masela wa mwese na WA lubalis
 
Attachments

  • PXL_20240526_140723926.PORTRAIT.jpg
    PXL_20240526_140723926.PORTRAIT.jpg
    3.2 MB · Views: 27
Hongera sana mkuu kwa inspired story ya hustling, hakika nimejifunza vitu kadhaa toka kwako mwamba.! Unafaa kutengeneza story in series hata kitabu mkuu juu ya safari ya maisha yako.!

Hongera sana kwa uthubutu karibu arusha na manyara tulime maharage na ngwara..
Naomba namba yako mkuu, unipe full A B C za huko kabla sijavaa silaha za kazi
 
Una omba hifadhi Kwa Wana kijiji
Naomba kuuliza;
Vp hao wanakijiji wanakuamin tu na kukupa hifadhi au inabidi uwe na document fulan uwaoneshe?

Kingine,
Kwny hii biashara ya mazao ukienda kijjn ambako ndo mara ya kwanza humjui yyte yan unaanzia wapi. Mana hujui nan ana mazao unayohitaji kwa hyo inakuaje yaan unaanza kupita nyumba kwa nyumba kuulizia au?

Na kingne, mfano mm nahtaji gunia 5 za zao fulan na nikakuta kuna mtu ana debe 2 mwngne 3 mwngne ana debe 1, je wakat nazikusanya ili zitimie gunia 5 nazihifadhi wapi? Kunakuaga na stoo za kuhifadhia au vp?
 
Kijijin watu sio wa choyo kukupa hifadhi ya kulala vyema ukalala Kwa mtendaji usalama store watu wanakula eneo la kutunza mzigo maeneo yapo mengi kununua pole pole inafanyika watu wanafanya
 
Back
Top Bottom