MREJESHO: Simuelewi mume wangu

MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.

Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.

Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.

Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Nimesoma nyuzi zako kwa mwaka huu 2022 tuu umepitia mengi sana. Labda karudiana na michepuko yake ile au atakuwa na tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Azingatie vizuri maana watu wa chuga usmati uko mbali sana unakuta mwanamke kuoga mpaka jua lizame.
 
Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Pokea ushauri wa kijinga ili uvunje ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe mwanamke Mpumbavu. Sijui kwanini kizazi hiki hakina subira kwenye maswala mbalimbali ya kimaisha. Jamaa amekueleza vizuri changamoto anayopitia wewe umekurupuka na kutaka ulalwe nje. Hongera sana kwa maana hawa wanaokusifu na kukushauri huku watakuletea uji wenye Limao Hospitali baada ya kupata UKIMWI. Mwanamke unawaza ngono tu.
 
Hajaguswa siku zote hizo unataka awaze nini? Nyege mbaya
 
Sasa ebu nishauri nifanyaje au nipe njia Bora ya kutatua hili tatizo kiukweli akili yangu sahivi ni Kama imeshafeli maana nmefanya kila jitihada Ila zimegonga mwamba
Kama umeshafanya "Kila jitihada" na zimegonga mwamba,nenda kwenu ili huyo Mumeo aone thamani yako ya kukosekana kwako hapo home kwenu,kifupi hakuna ndoa tena hapo.
 
Watu tunatafuta wake watakaokuwa wanatupa mizagamuo kila tukihitaji,maana tulio nao Ni wavivu kila ukiomba tu unaambiwa nimechoka,unajikuta unapata Mara Moja kwa wiki,Kuna jamaa huko analalamikiwa eti hataki kula tunda.

Dunia haina usawa kabisa.
Kwenye miti hakuna wajenzi Mkuu.
 
Watu tunatafuta wake watakaokuwa wanatupa mizagamuo kila tukihitaji,maana tulio nao Ni wavivu kila ukiomba tu unaambiwa nimechoka,unajikuta unapata Mara Moja kwa wiki,Kuna jamaa huko analalamikiwa eti hataki kula tunda.

Dunia haina usawa kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hajaguswa siku zote hizo unataka awaze nini? Nyege mbaya
Mbona Bibi zetu na Mama zetu waliweza kukaa na kujiheshimu pale ambapo babu na Baba zetu wanasafiri hata miaka 10. Nyie mnajiendekeza na hamna maadili kama wanawake, kila saa upo Mtandaoni na makucha yenu ya bandia mnaangalia ngono na kufuatilia mafundisho yenu ya ngono, kitchen Party na marole modal wenu walioshindwa ndio tatizo. Kizazi cha zinaa kinachoikuza ngono na kuifanya Ibada. Yaani na wewe mwanamke unamshauri mwanamke mwenzako atafute jamaa nje. Very Painful.
 
Itakuwa uchafu maana mademu wa chuga wachafu Sana
In short make unakuwa Msafi
Nyumba
Mwili
Nguo
Vyoo
Bafu
Vyombo
Mazingira
Kufua mashuka mara kwa mara
Ubunifu wa kila aina
 
Masikini mnapenda sana michakato, Matajiri hawana hamu ya ndoa muda wote wanawaza miradi Yao weweunaanza kuwasogelea?
Kila mtu awaze lake bhana tusipangiane, huyo tajir anayewaza pesa muda wote shauri yake maisha ni haya haya mbinguni hatuendi na hela.

Wenye kuchakata waendelee tu maana ndicho tulichoumbiwa, anayebisha nipo huku namsubir.
 
Mbona Bibi zetu na Mama zetu waliweza kukaa na kujiheshimu pale ambapo babu na Baba zetu wanasafiri hata miaka 10. Nyie mnajiendekeza na hamna maadili kama wanawake, kila saa upo Mtandaoni na makucha yenu ya bandia mnaangalia ngono na kufuatilia mafundisho yenu ya ngono, kitchen Party na marole modal wenu walioshindwa ndio tatizo. Kizazi cha zinaa kinachoikuza ngono na kuifanya Ibada. Yaani na wewe mwanamke unamshauri mwanamke mwenzako atafute jamaa nje. Very Painful.
Wewe umejuaje kama bibi zetu walivumilia? Walikwambia?

Issue ya mtu kusafiri miaka kumi na kuwepo nae hapo unalala nae na hakugusi ni mambo mawili tofauti.

Kwanini asipewe sababu tatizo ni nini ili dada wa watu ajue anarekebisha vipi?
Kukaa kimya muda wote huo maana yake ni nini?

Ndoa ni tendo mengine mbwembwe tu.

Wewe mkeo akunyime bila sababu ya msingi utamuelewa? Utavumilia?
Au unadhani mwanamke mihemko yake ya mwili inavumilika kirahisi?

Angekuwa ni mwanaume mwenzako analalamika hapa ungeshauri amteme mkewe, au atafute mwingine. Wabinafsi sana nyie watu. Na hamna akili ya kusolve matatizo kwenye ndoa mkitegemea mtavumiliwa.

Zama za kuwavumilia ujinga zilishapita tuambiane ukweli tuache ujinga wa kuharibu ndoa kwa makusudi halafu lawama ashushiwe mke.

Kama husemi tatizo ni nini umekaa tu kimya au unatoa sababu zisizoeleweka acha tu usaidiwe ili utie akili.

Kama haya yanayosemwa na mtoa mada ni kweli naunga mkono hoja atafute wa kumla hamna namna.

Kila tatizo mnasema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe sasa hapo mpumbavu ni nani kama sio huyo mume.

Mambo yanabadilika, kama mnategemea wanawake wa miaka kumi ijayo wawe sawa na bibi zenu wa miaka 90 iliyopita kaa hapo usubiri mimi nimekaa paleeeee nakunywa 🍺
 
Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
mkuu agiza kinywaji chochote kunywa nakilipia. ebhana hili tatizo la harufu limenifanya nioneksne mdhaifu kwenye tendo ila ukweli ni harufu mbaya unayopata wakati wa tendo inakata mizuka yote.

nilishakua na demu mzuri kwa kiasi chake na nilipania sana kumnyandua ila alipokuja niliishia kuloweka kimoja nkaoga nkamrudisha alipotoka, alipohiji huku akinilaumu kua nilimuahidi show nzur kikowapi nkamjibu vizur tu skujiskia hamu baada ya yeye kuvua chupi hakunielewa ila naamini akikaa vizur akajichunguza atanielewa.

mwingine nilikua nae geto kupima oil nakuta harufu chafu hapo hapo nkaahirisha kila kitu tukapiga stor akasepa

kiukweli harufu zinatutoa sana mchezoni mm nina tabia ya kujiuliza kama shimo lina harufu hivi je uume wangu utakua salama ukiingia huko? kama unajijali ukishajiuliza hvo lazima utaahirisha tendo.

wanawake ambao oil zenu safi tukipima mnakanafasi kenu pale mbinguni. nyie ndo mnatufanya tulambe bakuli aka kwenda uvinza
 
Back
Top Bottom