makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 1,970
- 1,480
No kwani hiyo harufu ameanza kuisikia now hapanaThis is a bigger point . Thanks bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No kwani hiyo harufu ameanza kuisikia now hapanaThis is a bigger point . Thanks bro
Nimesoma nyuzi zako kwa mwaka huu 2022 tuu umepitia mengi sana. Labda karudiana na michepuko yake ile au atakuwa na tatizo.Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Azingatie vizuri maana watu wa chuga usmati uko mbali sana unakuta mwanamke kuoga mpaka jua lizame.Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Pokea ushauri wa kijinga ili uvunje ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe mwanamke Mpumbavu. Sijui kwanini kizazi hiki hakina subira kwenye maswala mbalimbali ya kimaisha. Jamaa amekueleza vizuri changamoto anayopitia wewe umekurupuka na kutaka ulalwe nje. Hongera sana kwa maana hawa wanaokusifu na kukushauri huku watakuletea uji wenye Limao Hospitali baada ya kupata UKIMWI. Mwanamke unawaza ngono tu.Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
That's lovely. Mi mzimaPole bby kweli nilipotea lakini ninkwa mema, nnimeanza kujenga bangalow letu bby. Sii unawajua mafundiz wetu lazima ukae nao benet. Mzima wewe
Hajaguswa siku zote hizo unataka awaze nini? Nyege mbayaPokea ushauri wa kijinga ili uvunje ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe mwanamke Mpumbavu. Sijui kwanini kizazi hiki hakina subira kwenye maswala mbalimbali ya kimaisha. Jamaa amekueleza vizuri changamoto anayopitia wewe umekurupuka na kutaka ulalwe nje. Hongera sana kwa maana hawa wanaokusifu na kukushauri huku watakuletea uji wenye Limao Hospitali baada ya kupata UKIMWI. Mwanamke unawaza ngono tu.
Kama umeshafanya "Kila jitihada" na zimegonga mwamba,nenda kwenu ili huyo Mumeo aone thamani yako ya kukosekana kwako hapo home kwenu,kifupi hakuna ndoa tena hapo.Sasa ebu nishauri nifanyaje au nipe njia Bora ya kutatua hili tatizo kiukweli akili yangu sahivi ni Kama imeshafeli maana nmefanya kila jitihada Ila zimegonga mwamba
Kwenye miti hakuna wajenzi Mkuu.Watu tunatafuta wake watakaokuwa wanatupa mizagamuo kila tukihitaji,maana tulio nao Ni wavivu kila ukiomba tu unaambiwa nimechoka,unajikuta unapata Mara Moja kwa wiki,Kuna jamaa huko analalamikiwa eti hataki kula tunda.
Dunia haina usawa kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Watu tunatafuta wake watakaokuwa wanatupa mizagamuo kila tukihitaji,maana tulio nao Ni wavivu kila ukiomba tu unaambiwa nimechoka,unajikuta unapata Mara Moja kwa wiki,Kuna jamaa huko analalamikiwa eti hataki kula tunda.
Dunia haina usawa kabisa.
Mbona Bibi zetu na Mama zetu waliweza kukaa na kujiheshimu pale ambapo babu na Baba zetu wanasafiri hata miaka 10. Nyie mnajiendekeza na hamna maadili kama wanawake, kila saa upo Mtandaoni na makucha yenu ya bandia mnaangalia ngono na kufuatilia mafundisho yenu ya ngono, kitchen Party na marole modal wenu walioshindwa ndio tatizo. Kizazi cha zinaa kinachoikuza ngono na kuifanya Ibada. Yaani na wewe mwanamke unamshauri mwanamke mwenzako atafute jamaa nje. Very Painful.Hajaguswa siku zote hizo unataka awaze nini? Nyege mbaya
Nakazia.Nasikitika kukuambia kua mumewako kashapata mume wake🏃
Sidhani kwa kuda walioa kaa kama angekuwa na shida hiyo jamani.hana hisia na wewe
possibly, K inatema au mdomo unatema ?
jinsia yako tafadhalijamani.
Kila mtu awaze lake bhana tusipangiane, huyo tajir anayewaza pesa muda wote shauri yake maisha ni haya haya mbinguni hatuendi na hela.Masikini mnapenda sana michakato, Matajiri hawana hamu ya ndoa muda wote wanawaza miradi Yao weweunaanza kuwasogelea?
Wewe umejuaje kama bibi zetu walivumilia? Walikwambia?Mbona Bibi zetu na Mama zetu waliweza kukaa na kujiheshimu pale ambapo babu na Baba zetu wanasafiri hata miaka 10. Nyie mnajiendekeza na hamna maadili kama wanawake, kila saa upo Mtandaoni na makucha yenu ya bandia mnaangalia ngono na kufuatilia mafundisho yenu ya ngono, kitchen Party na marole modal wenu walioshindwa ndio tatizo. Kizazi cha zinaa kinachoikuza ngono na kuifanya Ibada. Yaani na wewe mwanamke unamshauri mwanamke mwenzako atafute jamaa nje. Very Painful.
mkuu agiza kinywaji chochote kunywa nakilipia. ebhana hili tatizo la harufu limenifanya nioneksne mdhaifu kwenye tendo ila ukweli ni harufu mbaya unayopata wakati wa tendo inakata mizuka yote.Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...