Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Kwa mrembo kama wewe hata laki nakupa si umeniombaš„°, lakini sio useme unauza perfume nitume buku unitumie hiyo ni big NO.
Kaamua kuharibu uhusiano wenu kwa vipande vya 350k.Kuna dada tunafahamiana vizuri kabisa na kanitapeli 350k yangu.
Simu hashiki.
Bado namtafakari.
Inasikitisha sana mkuu.Kaamua kuharibu uhusiano wenu kwa vipande vya 350k.
TAmaa mbaya sana. Mim nina jamaa yangu nilimtumia lak 1 n nusu ambayo alitakiwa kuirudisha ndani ya saa moja kama alivyoahidi, ila sasa saa moja imegeuka kuwa wiki, mwezi. Na simu hapokei tena.Inasikitisha sana mkuu.
daah maisha haya
alietapeliwa ukimfatilia vizuri ni kama dish limeyumba,amezubaa sanaHivi unaakili timamu kweli
š¢šPole sanaKuna dada tunafahamiana vizuri kabisa na kanitapeli 350k yangu.
Simu hashiki.
Bado namtafakari.
Watu wakija kuomba, wanakuja vizuri kurudisha inakua mtihaniTAmaa mbaya sana. Mim nina jamaa yangu nilimtumia lak 1 n nusu ambayo alitakiwa kuirudisha ndani ya saa moja kama alivyoahidi, ila sasa saa moja imegeuka kuwa wiki, mwezi. Na simu hapokei tena.
unaweza kukuta tyr nayey ni miongoni mwa hawa wanaochangiia hii nyuziJamaa sio mtu mzuri hapo anafungua Id mpya anajipanga tena kutapeli, sikuamini kama hata humu kuna watu wenye tamaaa.
vipi ukitumiwa mzigo bila kulipia halafu wewe ndio ukawa mwizi muandamizi
Nipo tabora mjini wewe supplier upo daslam vijijini apo tunapigapigaje apo mzee kongHautumiwi bali unapelekewa ,unatoa mpunga unkabidhiwa hapo hapo.
Ahsante sana mkuu.Pole sana kutapeliwa kunaumiza sana.