MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Jay_255

Vipi kuhusu instagram watu wanauza simu , viatu. na wanatumia majina sio yao wateja wanapata kutoka mikoani hao pia ni maboya
 
Pole sana
 
Yeah jamaa ni mjanja sana
 
Sio kweli hizo ni tamaa za mtu sio mfanya biashara mwenye mawazo makubwa. Sasa utampateli mtu kila siku , ila unaweza kufanya biashara na mtu kila siku.
Sasa akili kama hiyo wanayo wachache, wengi wao wanafikiria hii hela nikiipiga atanitafuta wapi?

Hajui tu anapoteza kitu kikubwa sana kwa tamaa ya mda mfupi. Imagine anabadili mpaka line
 
Ps3 slim Dar 290,000 ila yeye dubai akasema 220,000 nikaona poa
Yes Ila vitu akivyotaka kumuuzia Sim na game kwa 360K ilibidi amshtukie .


Kutapeliwa ni issue ya hisia zaidi when ur too logic ngumu kupigwa japo inawezekana .


Jamaa ni mjanja Ila sio smart IPO siku atakamatika
 
Ila watu mnajiweza aisee unatuma kabisa pesa kwa mtu humjui, mimi hata buku situmiiii yaani kweli kila mtu yupo tofauti
Watu wana hela.

Akina Lucas Mwashambwa na chiembe ni mabilioneaa wanacheza na keyboards tu lakini mwisho wa siku wanajaza maokoto benki.

Kutuma sijui milioni sio shida. Mimi mwenyewe Lucas Mwashambwa alishanihonga laki
 
Ma fisi aa a wowo,

Mafisi aa, a wowo

Prisy prisy oooh,


Prisy prisy oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…