Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Sina ntachosema kuondoa hayo mawazo yako ubongo ni wako una uhuru na haki ya kuchagua nini uwaze

Ikiwa hajitongozi unapungukiwa na nini??? Jibu hakuna

Anajitongoza unapungukiwa na nini???, hakuna
Si ndomana tumejazana tunacomment, na aliyetoa mada anaenjoy comment zetu, inshort tunaenjoy tu, wadau km mimi nayeelewa chezo hili nafurahi uwepo wa akili km hizi, so usivunjike moyo wala usitoke povu, tunaenjoy tu maana hata kiukweli ndio anajitongoza ila ni jitihada zake wala haituongezei kitu, na tunacomment kuendana na matakwa yetu...au vipi mkuu, ila anajitongoza, afu tunacomment na haituongezei kitu pia...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1][emoji1]waaaacha weeee...kumbe huyu anajitongoza...

jikubalie bhc mambo yaishe[emoji848]
 
Tuleweni sasa ,kodi iongezeke ,huduma zipatikane kwa urahisi,na mishahara ilipwe ,haya mastory bila gambe mnaweza kuishia njiani
 
Kwa hiyo kuna kundi la Watu linataka kukunyamazisha?

Basi nilipitwa!
Ila umeongea point moja ambayo kama pande zote mbili itazingatia kutwa hamna marumbano
"Kujali yako JF!"
Unafikiri hicho kikombe ulikishinda??
 
sema bhana ukweli acha utani.. a u the same Putin niliyekuwa namfahamu hapa JF? maana kama ni wewe utakuwa na nyota ya asali...kupendwa na wanawake wengi... na hivyo ukishaniambia ndie nitakuuliza swali lingine
Jje's kupendwa na wanawake wengi hakupaswi kua sifa kwa mwanaume , nasio kila kauli ya kupendwa inamaanisha, wengine wanakupenda simpo wanataka tu wakuachie wadudu wanaokula nyama kila moja ndan ya saa 24 !! ......am too young to die my dear!!!

Mie nmemshikia tuu jamaa nafasi yake ,ingawa unaweza kuniuliza swali nikalijib pia.
 
hapana swali lilikuwa la Vladmir PUTIN bhana... tu close tu hii topic and thanks kwa ushirikiano wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…