Putin The Great
Member
- Jul 28, 2018
- 63
- 55
Sure watu jF wanakulana kimya kimya sanaaaRaha ya jf bwana, walio kimya huwa wanatafuna sana. Yaani walio kimya wanaenjoy sana, leo huyu na kesho hata akibadilisha hakuna anayejua. Silent killers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure watu jF wanakulana kimya kimya sanaaaRaha ya jf bwana, walio kimya huwa wanatafuna sana. Yaani walio kimya wanaenjoy sana, leo huyu na kesho hata akibadilisha hakuna anayejua. Silent killers.
Si ndomana tumejazana tunacomment, na aliyetoa mada anaenjoy comment zetu, inshort tunaenjoy tu, wadau km mimi nayeelewa chezo hili nafurahi uwepo wa akili km hizi, so usivunjike moyo wala usitoke povu, tunaenjoy tu maana hata kiukweli ndio anajitongoza ila ni jitihada zake wala haituongezei kitu, na tunacomment kuendana na matakwa yetu...au vipi mkuu, ila anajitongoza, afu tunacomment na haituongezei kitu pia...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sina ntachosema kuondoa hayo mawazo yako ubongo ni wako una uhuru na haki ya kuchagua nini uwaze
Ikiwa hajitongozi unapungukiwa na nini??? Jibu hakuna
Anajitongoza unapungukiwa na nini???, hakuna
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.Sasa hutaki kuongelewa kwa zuri wala baya?
Sasa mbona umemshukuru bidada kwa upendo?
Maana kakuongelea kwa uzuri!
Kwan we mgeni mji huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi kuna faida gan mtu kujitongoza mkuu?? Na kwaajil yann??
Sibora umfate dem mmoja PM uanze kumtongoza??
[emoji1][emoji1]waaaacha weeee...kumbe huyu anajitongoza...Si ndomana tumejazana tunacomment, na aliyetoa mada anaenjoy comment zetu, inshort tunaenjoy tu, wadau km mimi nayeelewa chezo hili nafurahi uwepo wa akili km hizi, so usivunjike moyo wala usitoke povu, tunaenjoy tu maana hata kiukweli ndio anajitongoza ila ni jitihada zake wala haituongezei kitu, na tunacomment kuendana na matakwa yetu...au vipi mkuu, ila anajitongoza, afu tunacomment na haituongezei kitu pia...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisaaa mweee.Watu wa humu hujawazoeaga tu kwani???
Wasione umechutama eti umepuuuu, pyeeeeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuimbe asha anatoka Mwajuma anaingia
Kashajikubalia mkuu, sahv atakua huko anatumia mkono wa kulia akiushirikisha na wa kushoto[emoji1][emoji1]waaaacha weeee...kumbe huyu anajitongoza...
jikubalie bhc mambo yaishe[emoji848]
Peace and love !!One Love!
Kwa hiyo kuna kundi la Watu linataka kukunyamazisha?Niliwah andika uzi... Nikisema " wanawake wa JF kuwen makini humu,"
Mule ndan nikaandika sana namna wanaume wanavyotumia mbin ,anakuziga yupo shinyanga et atakusafiria kumbe mpo naye Dar na tabata iyo iyo...
Lkn weeee kuna mtu alifura sana akahisi nmemsema yeye .. Bahat nzur kila kitu chao uko kwa maPM lazima kinifikie.. Ilo likapitaa.
Nyuzi zangu kuna wakat najitoa ufaham ti Naandika kuhusu suala la waawake kufanya biashara ya ngono mtandaoni , then mtu fulan anakuchukia bila sababu .
Sasa kumbe nikagundue watu wanapenda kusikia yale wanayoyafurahiaaa.
Ilo sio dogo,, mimi NACHUKIA SAN NA KWA NGUVU ZANGU ZOTE MWANAMKE KUCHEPUKA UWE UMEOLEWA AU MPENZI WAKO NACHUKIA NA NITAENDELEA KUCHUKIA...... hapa napo watu nikiandika wanahisi nawasema waooo.
Matokeo yake, zinatafutwa mbinu zakila aina kuninyamazisha ?[emoji23][emoji23][emoji23]..
Sasa watu wanamna hiyo wanavyokuka kuniattack kisa maudhui yangu niwafanyaje kama sio namm kuwaumbua tuu?? Kwakweli nitaendelea kumuumbua yoyote atakayeniletea ujinga ,subirin nirudi !!
Sasa ndo hayo yanayofanya watu waseme "Putiiin mubayaaa, putin mjingaaa ,sijui nn"
Aaahhhh ukijali yaJF yako..namm nitajali yaJF yangu .
KabisaZimwi likujualo halikuli likakwisha.
Kwake yake nampa Green light
Jje's kupendwa na wanawake wengi hakupaswi kua sifa kwa mwanaume , nasio kila kauli ya kupendwa inamaanisha, wengine wanakupenda simpo wanataka tu wakuachie wadudu wanaokula nyama kila moja ndan ya saa 24 !! ......am too young to die my dear!!!sema bhana ukweli acha utani.. a u the same Putin niliyekuwa namfahamu hapa JF? maana kama ni wewe utakuwa na nyota ya asali...kupendwa na wanawake wengi... na hivyo ukishaniambia ndie nitakuuliza swali lingine
Nooo sio mgeni , ila sijuigi nin sababu yamtu kuanza kujibebisha .Kwan we mgeni mji huu
hapana swali lilikuwa la Vladmir PUTIN bhana... tu close tu hii topic and thanks kwa ushirikiano wako.Jje's kupendwa na wanawake wengi hakupaswi kua sifa kwa mwanaume , nasio kila kauli ya kupendwa inamaanisha, wengine wanakupenda simpo wanataka tu wakuachie wadudu wanaokula nyama kila moja ndan ya saa 24 !! ......am too young to die my dear!!!
Mie nmemshikia tuu jamaa nafasi yake ,ingawa unaweza kuniuliza swali nikalijib pia.
[emoji23] [emoji23]Nooo sio mgeni , ila sijuigi nin sababu yamtu kuanza kujibebisha .
Nimeipenda hiyo DOOOOH Dada akeDOOOOH
[emoji23][emoji23][emoji23] kwatusio tumia je ??Tuleweni sasa ,kodi iongezeke ,huduma zipatikane kwa urahisi,na mishahara ilipwe ,haya mastory bila gambe mnaweza kuishia njianiView attachment 835845