Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Dereva wa mwendokasi kwanini akwepe Rav4 yenye watu wawili ilhali anajua Gari lake lina watu wengi zaidi tena wengine wakiwa taifa la kesho?! Busara ilikuwa ku-hit head-on Rav4 ili kuokoa majority
Binadamu instincts zinamwambia akwepeshe
 
Polisi awe kwenye panic mode
 
Ungetuambia ww wapi alipokosea siye wengine la nne B
 
Sasa nimeelewa nadhani ww ni mwanasheria mkuu
 
Mlipona wote isipokua ,

Dah nchi ngumu hii hata uandishi shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…