kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #41
Kwamba sina hisia😅😅 hamna shemeji siyoShemeji sema tu ni hormone ya kuzagamuliwa 😂
😅😅😅ila shemNilidhani amefichwa na shemeji ila kwa msongo aliokuwa nao shemeji bila shaka ndugu yetu ameamua kutii matakwa ya TCRA 😂😂😂
Asante sana yaani hakika nimepata somo kubwa sanaPole waifu material.....sio kila kitu lazma ufunzwe na wazazi mengine walimwengu wanakupa somo
Hayo tuyaache muhimu tumeachana salama namshukuru MunguAlikifurahia?
Utapeli umeanza lini?Sasa fungua PM mrembo nije nikuliwaze umsahau huyo baharia.
Mimi sio tapeli ,fungua milango nikufute machozi na usahau mateso ya baharia.Utapeli umeanza lini?
Sihitaji mahusiano kwasasa, Asante.Mimi sio tapeli ,fungua milango nikufute machozi na usahau mateso ya baharia.
Hii ndio shida ya wanawake wengi ni wabinafsi, kupitia tu kauli zao unabaini hili kasahau hela alizokula za jamaaHuo muda hua unahesabu upande mmoja tu wa mwanamke?! Sema mmepotezeana muda.
Sasa hela na muda kipi kina thamani huenda nisungekuwa naye ningeshapata mtu sahihiHii ndio shida ya wanawake wengi ni wabinafsi, kupitia tu kauli zao unabaini hili kasahau hela alizokula za jamaa
Sio lazima tuwe na mahusiano ya kimapenzi kwasasa ,fungua mlango halafu mengine yakiwa rizki yetu yatatokea.Sihitaji mahusiano kwasasa, Asante.
Kama ni urafiki ni sawa, karibu.Sio lazima tuwe na mahusiano ya kimapenzi kwasasa ,fungua mlango halafu mengine yakiwa rizki yetu yatatokea.
NB:sijawahi mtext mdada humu hata kwa utani na akajibu wewe ndo wa kwanza.
Hata yeye amepoteza resource hela hizo hela alizowekeza kwako angewekeza kwenye biashara so ukisema amekupotezea muda unakosea sema mmepotezeana labda ingekuwa umetoa zaidi kushinda yeye ningeunga hoja yako ila yote kwa yote pole yalikukutaSasa hela na muda kipi kina thamani huenda nisungekuwa naye ningeshapata mtu sahihi
Asante sana mkuu, nimeshapoa hata hivyo ni afadhali kaniambia mapemaHata yeye amepoteza resource hela hizo hela alizowekeza kwako angewekeza kwenye biashara so ukisema amekupotezea muda unakosea sema mmepotezeana labda ingekuwa umetoa zaidi kushinda yeye ningeunga hoja yako ila yote kwa yote pole yalikukuta
Acha tu yaani kumbe ningeendelea kupoteza muda tu huku nina matarajio mwenzangu yupo na familia yake, nimeumia sana🥲🥲Watu wakirogwa waanza kujitirisha huruma Kwa nini mtu usiwe muwazi Kwa mwenzio wewe ndio uamue Kwa akili zako timamu
Kuna dalili hizi ukiziona kwa mwanaume ujue huyo ana Nia ya dhati juu yako sijui kwanini mnashindwa kutambua mwanaume muhuniAsante sana mkuu, nimeshapoa hata hivyo ni afadhali kaniambia mapema
Huyu wangu alikuwa anabadilika badilika nikawa simuelewi ndiyo maana nilichelewa kujuaKuna dalili hizi ukiziona kwa mwanaume ujue huyo ana Nia ya dhati juu yako sijui kwanini mnashindwa kutambua mwanaume muhuni
1.Mwanaume mwenye upendo na wewe Lazima atakushirikisha kwenye Mambo yake baadhi bila hata wewe kumuuliza
2. Atakutambulisha kwa watu wake wa karibu hasa ndugu zake
3.atakuhudumia bila hata wewe kumuomba sometime
4. Atakuheshimu na kukusikiliza
5.ataguswa na maumivu yako yaani lazima awe na huruma dhidi yako.
NB: Kama hivyo vyote haujaona kwake kwanini ulikubali kuendelea nae Kuna wakati ipe nafasi akili badala hisia ikuongoze kufanya maamuzi. Ukitumia akili zaidi kwenye kila maamuzi nakuambia utakuja kupata mtu sahihi
Mkirudiana utuletee uzi mwingineHayo tuyaache muhimu tumeachana salama namshukuru Mungu
Haiwezi kutokea kamweMkirudiana utuletee uzi mwingine
Nimekaribia. Kesi ya lissu ikiisha nakuja PM tusomeane kesi na sisi🤫Kama ni urafiki ni sawa, karibu.