feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Ya kesho kitendawili.Haiwezi kutokea kamwe
Ya kesho kitendawili.Haiwezi kutokea kamwe
Never say neverHaiwezi kutokea kamwe
Pole sana mama muhimu Kama utabahatika kuingia Tena kwenye mahusiano usiruhusu Hali ya past relationship background ichukue nafasi kwenye present relationship utazidi kuumia zaidi maana sio wanaume wote watakuwa Kama ex wako Kama mnavyoaminishwa wanaume wote ni sawa, jitahidi ufunge ukurasa wanyuma wote na uingie kwenye mahusiano mapya ukiwa mpya.Huyu wangu alikuwa anabadilika badilika nikawa simuelewi ndiyo maana nilichelewa kujua
Asante sana mkuu, nitajitahidi kujipa muda kwanza wa kuhealPole sana mama muhimu Kama utabahatika kuingia Tena kwenye mahusiano usiruhusu Hali ya past relationship background ichukue nafasi kwenye present relationship utazidi kuumia zaidi maana sio wanaume wote watakuwa Kama ex wako Kama mnavyoaminishwa wanaume wote ni sawa, jitahidi ufunge ukurasa wanyuma wote na uingie kwenye mahusiano mapya ukiwa mpya.
Sirudigi nyumaNever say never
Kesi ya Lissu hadi uchaguzi upite nadhani😅Nimekaribia. Kesi ya lissu ikiisha nakuja PM tusomeane kesi na sisi🤫
Mimi nipo tofauti, huwa sirudi nyumaYa kesho kitendawili.
Nazungumzia leo ,ikihairishwa jioni basi kesi nitahamishia kwenye uwanja wako wa messageKesi ya Lissu hadi uchaguzi upite nadhani😅
Hamna nimekusudia hiyo ambayo imekuwa high ni ya mizagamuo 😂Kwamba sina hisia😅😅 hamna shemeji siyo
Shem kama shem 😂😅😅😅ila shem
Hapa nishakosa ndoa😅😅Shem kama shem 😂
😅😅😅dahHamna nimekusudia hiyo ambayo imekuwa high ni ya mizagamuo 😂
Asante sana mkuu, nimejifunza sana maana nikikaa nikikumbuka niliyokuwa nafanyiwa kweli nabaini hakukuwa na upendo, wacha nipumzike kwanza kwa sasa sitaki kukurupuka tenaKati ya viumbe wagumu kukubali kuachwa ni wanawake.
Mwamba alishakuonesha signs ila wewe ukawa kichwa ngumu na bado ukamtafuta tena ili mrudiane.
Mpaka anakwambia ana mtu wake alishaona wewe huachiki hivyo hiyo njia ngumu ya kukuuumiza aliyoitumia ni sahihi.
Si ajabu ukaingia kwenye mahusiano mapya huko mbele na jamaa akarudi kupasha kiporo.
Pole sana mkuu, next time jipende kwanza, kua na uhuru wa kipato, uliomba pesa mkaishia kuzagamuana na kurudi kwenye mahusiano.
Unaonekana ni binti mwenye akili na sasa unajitambua, karibu vingunguti kidarajani nikufunze jambo.
Hivi Mamie hiyo hormone inbalance inakuajeAsante sana mkuu, nitajitahidi kujipa muda kwanza wa kuheal
Yaani kuna hormone imezidi mwilini inakuwa inazalishwa kwa kiwango kikubwa kuliko inavyohotajiwa ndiyo niliambiwa hivyo mimiHivi Mamie hiyo hormone inbalance inakuaje
UNASTAHILI KUACHWA KWA SABABU WEWE NI MBINAFSI. Yaani mmepata ajali wote halafu unakuja kumwambia "umenisababishia shida kubwa"?..... inasikitisha sana tabia za mwanamke kama wewe. Hufai kuwa mke.Nakumbuka mwaka huu tulipata ajali ya gari, kwenye ile ajali hata yeye alikuwepo sasa ile ajali iliniletea mshtuko ambao ulipelekea nikapata shida ya hormone, nilienda hospital but sikuponaga vizuri, sasa nikawa nimekaa nikamcheki siku nikamwambia unajua umenisababishia shida kubwa na upo tu wala haujali, akanitumia kiasi flani cha pesa japo hakitoshi akasema ndiyo aliyo nayo( hapo muda huo tulishaachana)
UNASTAHILI KUACHWA KWA SABABU WEWE NI MBINAFSI.
😭😭😭😭
Inamaana hapo ya kiume ndio imezidi sana? Na hiyo ndio sababu ya yeye kukuacha?Yaani kuna hormone imezidi mwilini inakuwa inazalishwa kwa kiwango kikubwa kuliko inavyohotajiwa ndiyo niliambiwa hivyo mimi