Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

Inaumiza sana Kuona mtu uliyempenda 12% kumbe ndiye aliyekuwa adui yako mkubwa.
But all in all... Always nothing is permanent 😉
Acha tu yaani, mimi nilikuwa najua ipo siku hata tutaanzisha familia kumbe nilikuwa najidanganya🥲🥲
 
Sisi wanawake sikuzote hatuna akili,na tunapokosea ni kurudiana na mtu ambaye alishakuonyesha hauna thamani kwake Mara ya kwanza...hivyo ni lazima tuchukuliwe for granted....mbaya sana kugundua unayemwabudu ndiye big snitch behind your back 🙌
 
Acha tu yaani, nimejifunza pakubwa siku nyingine sitarudia kuvumilia aina kama hiyo ya mahusiano
 
Wewe nitie tu moyo alafu kinirambe😅😅
Ondoa shaka shemeji 😂

Kuna haka kamstari kwenye kasingeli kamoja hivi kanaimbwa kwa kuulizwa “Shemeji haliwi/analiwa?” kisha wanaitikia “analiwa” 😂

Maana yangu ni kwamba tutamrudisha ndugu yetu jandoni apate kuongeza nguvu zaidi ili kuendana na kasi ya hormone kabla ndugu hatujafanya maamuzi magumu ili kulinda heshima ya familiya 😂😂😂
 
Dah! Hako kamstari kamenisikitisha sana shemeji 🥲🥲
 
Nimekuwa nipo very concerns na Hili kwasababu imewahi kutokea ex wangu hiyo issue ila sikuwahi kuuliza ndio maana nakuuliza nijue madhara yake ya mwili ni Kama yapi?
Unaweza kupitiliza period au usione kabisa, kuna mengine mengi tu pia yanaweza kutokea ungejaribu kumuuliza chatGPT athari za hormone imbalance na imani angekujibu vizuri
 
Back
Top Bottom