Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

🤣🤣🤣nimehuzunika sijui una maana gani kusema hivyo ila hakanihusu mie shem
Kumbe kamstari kamekuacha 😂

Yaani hatutaacha utoke nje ya familiya endapo ndugu yetu atashindwa kuiweka sawa hormone, hivyo basi kwa kutoleta fedheha tutaiweka sawa sisi kama mashemeji 😂

Utapewa uhuru wa kuchagua umtakae ili aitendee haki hormone 😂😂😂

NB: Sisi tunajiamini tuko imara 💪
 
Aaaah! Hapo nimekusoma, haya mkimaliza kikao mtasema😅😅
 
Asante sana mkuu, nimejifunza sana maana nikikaa nikikumbuka niliyokuwa nafanyiwa kweli nabaini hakukuwa na upendo, wacha nipumzike kwanza kwa sasa sitaki kukurupuka tena
Ishu sio kukurupuka mkuu, hata huo muda wa kuheal ukipita ukaingia kwenye mahusiano mapya, ukawa unatumia hisia pasi na akili hakika utaenda kuumia tena.
 
Mkuu umeona jinsi ulivyojisikia? Sasa sisi wanaume ndo huwa tunajisikiaga vivyo hivyo mara kwa mara..

Huwa tubapoteza kila kitu kumuhudumia mwanamke asiyejali. Lakini pole ndio ukubwa huo.
Asante sana mkuu nimeshapoa
 
Mambo muhimu ni pamoja na hilo? Je utanunua wachakataji ukiwa na upwiru??

Enewe niweke kwa kifupi, nishafanya booking, namba yangu ni ileile, ukizidiwa niite.
Yapo mengi tu muhimu tofauti na hilo, hilo jambo kwangu halina umuhimu hadi nipate stress nikilikosa
 
Back
Top Bottom