😅😅😅hapana ni hizi hizi hormone za kike, sasa mimi wa kike ntakuwaje na hormone za kiume mkuuInamaana hapo ya kiume ndio imezidi sana? Na hiyo ndio sababu ya yeye kukuacha?
Asante sana mkuu
Weka picha yako na number ya simu memebrs wakupe miongozo...Asante sana mkuu
Acha tu yaani, mimi nilikuwa najua ipo siku hata tutaanzisha familia kumbe nilikuwa najidanganya🥲🥲Inaumiza sana Kuona mtu uliyempenda 12% kumbe ndiye aliyekuwa adui yako mkubwa.
But all in all... Always nothing is permanent 😉
Sisi wanawake sikuzote hatuna akili,na tunapokosea ni kurudiana na mtu ambaye alishakuonyesha hauna thamani kwake Mara ya kwanza...hivyo ni lazima tuchukuliwe for granted....mbaya sana kugundua unayemwabudu ndiye big snitch behind your back 🙌Acha tu yaani, mimi nilikuwa najua ipo siku hata tutaanzisha familia kumbe nilikuwa najidanganya🥲🥲
Acha tu yaani, nimejifunza pakubwa siku nyingine sitarudia kuvumilia aina kama hiyo ya mahusianoSisi wanawake sikuzote hatuna akili,na tunapokosea ni kurudiana na mtu ambaye alishakuonyesha hauna thamani kwake Mara ya kwanza...hivyo ni lazima tuchukuliwe for granted....mbaya sana kugundua unayemwabudu ndiye big snitch behind your back 🙌
Ndoa ipo mbona 😂Hapa nishakosa ndoa😅😅
Usijali shemeji ndugu yangu atafanya inavyotakiwa ili kuendana na hormone 😂😅😅😅dah
Wewe nitie tu moyo alafu kinirambe😅😅Ndoa ipo mbona 😂
Usijali shemeji ndugu yangu atafanya inavyotakiwa ili kuendana na hormone 😂
Sasa ikizidi moja ndio inakuaje?😅😅😅hapana ni hizi hizi hormone za kike, sasa mimi wa kike ntakuwaje na hormone za kiume mkuu
Inaleta shida kwenye mwiliSasa ikizidi moja ndio inakuaje?
Projekti gani mkuu?Sasa waifu material kwanini tusianzishe hii projekti Mimi na wewe ?
Nimekuwa nipo very concerns na Hili kwasababu imewahi kutokea ex wangu hiyo issue ila sikuwahi kuuliza ndio maana nakuuliza nijue madhara yake ya mwili ni Kama yapi?Inaleta shida kwenye mwili
Ondoa shaka shemeji 😂Wewe nitie tu moyo alafu kinirambe😅😅
Dah! Hako kamstari kamenisikitisha sana shemeji 🥲🥲Ondoa shaka shemeji 😂
Kuna haka kamstari kwenye kasingeli kamoja hivi kanaimbwa kwa kuulizwa “Shemeji haliwi/analiwa?” kisha wanaitikia “analiwa” 😂
Maana yangu ni kwamba tutamrudisha ndugu yetu jandoni apate kuongeza nguvu zaidi ili kuendana na kasi ya hormone kabla ndugu hatujafanya maamuzi magumu ili kulinda heshima ya familiya 😂😂😂
Unaweza kupitiliza period au usione kabisa, kuna mengine mengi tu pia yanaweza kutokea ungejaribu kumuuliza chatGPT athari za hormone imbalance na imani angekujibu vizuriNimekuwa nipo very concerns na Hili kwasababu imewahi kutokea ex wangu hiyo issue ila sikuwahi kuuliza ndio maana nakuuliza nijue madhara yake ya mwili ni Kama yapi?
Usisikitike shemeji yangu sisi ni familiya 😂Dah! Hako kamstari kamenisikitisha sana shemeji 🥲🥲