kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #101
🤣🤣🤣nimehuzunika sijui una maana gani kusema hivyo ila hakanihusu mie shemUsisikitike shemeji yangu sisi ni familiya 😂
Kuna hadithi inayokuhusu nyuma ya hako kamstari? Naona umehuzunika shemeji(serious).
Kumbe kamstari kamekuacha 😂🤣🤣🤣nimehuzunika sijui una maana gani kusema hivyo ila hakanihusu mie shem
Aaaah! Hapo nimekusoma, haya mkimaliza kikao mtasema😅😅Kumbe kamstari kamekuacha 😂
Yaani hatutaacha utoke nje ya familiya endapo ndugu yetu atashindwa kuiweka sawa hormone, hivyo basi kwa kutoleta fedheha tutaiweka sawa sisi kama mashemeji 😂
Utapewa uhuru wa kuchagua umtakae ili aitendee haki hormone 😂😂😂
NB: Sisi tunajiamini tuko imara 💪
Mbona leo hatuna kikao shemeji hili ni swala lako ikitokea dharula backup uwe nayo tayari, la muhimu kuzingatia backup haitoki nje ya familiya 😂😂😂Aaaah! Hapo nimekusoma, haya mkimaliza kikao mtasema😅😅
😅😅😅huna baya shemeji mitano tenaMbona leo hatuna kikao shemeji hili ni swala lako ikitokea dharula backup uwe nayo tayari, la muhimu kuzingatia backup haitoki nje ya familiya 😂😂😂
We wakwetu shemeji 😂😅😅😅huna baya shemeji mitano tena
Kwamaana hiyo hapo bidada unaweza kupata mimba bila kupangaUnaweza kupitiliza period au usione kabisa, kuna mengine mengi tu pia yanaweza kutokea ungejaribu kumuuliza chatGPT athari za hormone imbalance na imani angekujibu vizuri
Ndiyo hivyo ila nipo kwenye tiba soon ntakaa sawaKwamaana hiyo hapo bidada unaweza kupata mimba bila kupanga
Hakika mkuu, maisha lazima yaendeleeInuka jikung'ute vumbi maisha yaendelee
Nimejifunza yaani wakati mwingine ntafanya hivyoPole sana mapenzi sio ya kuingia mzima mzima, bakiza hata mguu mmoja nje
Ishu sio kukurupuka mkuu, hata huo muda wa kuheal ukipita ukaingia kwenye mahusiano mapya, ukawa unatumia hisia pasi na akili hakika utaenda kuumia tena.Asante sana mkuu, nimejifunza sana maana nikikaa nikikumbuka niliyokuwa nafanyiwa kweli nabaini hakukuwa na upendo, wacha nipumzike kwanza kwa sasa sitaki kukurupuka tena
Kwasasa sihitaji mahusiano acha nitulie siwezi kuruhusu hilo swala ntafocus na mambo muhimu ya maishaIshu sio kukurupuka mkuu, hata huo muda wa kuheal ukipita ukaingia kwenye mahusiano mapya, ukawa unatumia hisia pasi na akili hakika utaenda kuumia tena.
Asante sana mkuu nimeshapoaMkuu umeona jinsi ulivyojisikia? Sasa sisi wanaume ndo huwa tunajisikiaga vivyo hivyo mara kwa mara..
Huwa tubapoteza kila kitu kumuhudumia mwanamke asiyejali. Lakini pole ndio ukubwa huo.
Kwamba ajali ilisababisha tatizo la hormone hivyo jamaa akitaka sherehe (kufanya), wewe huna hisia ndio maana kakuacha.Unataka kusemaje hapo?
Mambo muhimu ni pamoja na hilo? Je utanunua wachakataji ukiwa na upwiru??Kwasasa sihitaji mahusiano acha nitulie siwezi kuruhusu hilo swala ntafocus na mambo muhimu ya maisha
Yapo mengi tu muhimu tofauti na hilo, hilo jambo kwangu halina umuhimu hadi nipate stress nikilikosaMambo muhimu ni pamoja na hilo? Je utanunua wachakataji ukiwa na upwiru??
Enewe niweke kwa kifupi, nishafanya booking, namba yangu ni ileile, ukizidiwa niite.
Wala haipo hivyo mkuu, tatizo langu halihusiani na kufanyaKwamba ajali ilisababisha tatizo la hormone hivyo jamaa akitaka sherehe (kufanya), wewe huna hisia ndio maana kakuacha.