Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

WENGEEE LA HELAAAA 😀 😀 😀 😀 😀 sasa uwalipe vodaa.
 
Kuna viwango kutegemeana na umri wa laini na transaction zako.. Na wenyewe voda ndio hukutumia ujumbe kwamba sasa unaweza kuhifadhi mpaka kiasi fulani.

Na vile vile ndani ya voda kuna kitu kinaitwa Mpawa huko unaweka mpaka 10M na Mpesa pia 10M
Kuhusu line kaandika hivi nikamwaambia a renew ile line iliyokuwa na hela sababu nilikuwa sina uhakika na nilipoiweka
 
Kosa la mteja. Bado anadunda tu kitaa. Ingekua kua upande w voda munge imba pambio ni wezi ni wezi hayo makampuni. Pia waziri nape anashirikia nayo
Voda ndio mwanzo kabisa walimwambia ni kweli imefungwa
 
Soma kwa weledi. Amesema line iliyokuwa na pesa hakujuailipo hivyo akawaambia wairenew
 
Unatakiwa ushtakiwe kwa kuharibu jina la kampuni. Uzembe wako ndio udhalilishe kampuni ya watu? Mpuuzi kweli
 
Kilichokuponza ni negligence na kama ungefile suit ,ingekutokea kila penye tundu.Prudence is of the essence.
 
Swal dogo mkuu

Ina maana line zako zote unatumia NYWILA MOJA au zinazofanana katika huduma ya mpesa?

Pia ulisema hapo nyuma kuwa ulienda Vodacom makao makuu salio lilokuwepo ila kutoa haikuwezekana je waliangalia kupitia namba gani ? Na wewe line uliifunga hvyo haikuwa hewan Wala kwenye simu

Majibu tafadhari
 
Pole sana mtoa uzi.. but kupitia huu uzi imedhihirisha kuwa wewe sio mvumilivu wa mambo pia una hasira za haraka na tabia za kukurupuka.. Next time think wise unapokutana na jambo lenye kuhitaji muda kutafakari na kulichunguza kabla ya kulipeleka public(overlap)... think wide unapotaka kufanya maamuzi ili kutoleta madhara hasi kwa watu wanaokuzunguka na jamii kwa ujumla baada ya maamuzi yako kufanyika..
 
Wewe umetumwa na vodacom kuja kuwasafisha baada ya kuonywa na TCRA kuweka pesa nyingi hivyo kwenye simu na hazifanyi kazi yoyote kwa muda mrefu
 
Wambieni voda watulipe gawio sisi tuliowekeza shares kwenye kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…