Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

Wewe ndio uache kukaa kwa kukalili line unapoweka fedha zikifikia kiwango Cha juu unapandishwa daraja mfano

Tier 1 limit per transaction n 1m per day Ila ac isi zid 2m balance

Tier 2 limit per transaction n 5m per day balance limit 10M

Tier 3 ndio line za biashara ili uwe daraja ilo lazima upeleke I'd business license & tin # max balance n 50M
 
Kwa nini usingeanza kwa kueleza kosa lako, ndio kwanza unaeleza na upotevu wa pesa benki wakati unajua hakuna ukweli? Nani asiyejua wizi wa rais?
Hauna uaminifu! Na msamaha inaanza mwanzoni, sio mwisho mwa habari yako. Vodacom wana haki ya kukukaanga kwa uzushi huu.
 
Sasa kwa hekima hiyo hiyo elezea clearly unaomba radhi kwa vodacom na watanzania kwa jumla. Naona unazunguka zunguka tu. Tamka unaomba radhi na ni uzembe wako
Na kwa mtu anayewajibika kwa makosa yake angeanza na msamaha kwanza, sio kuweka mwisho wa bandiko lake.
 
Umakini na utulivu ni moja ya nguzo kubwa sanaa...

Hio pesa hata ingepotea, ingepotea kwa kukosa umakini kwako na sio Voda.
 

Mkuu mimi kidogo nikwambie Njoo tufungue kesi [emoji23]
 
Unasemaje wewe mm Ni mhanga wa kufuta usajili wa laini
Na nilienda tigo nikairenew
 
Mimi laini yangu naweka Hadi 15m Hilo sio la kubishia labda kama Kuna lingine
 
Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi cha Magufuli kutokana na benki hizo kufilisika na waliokuwa na fedha humo kuzipata ikawa ni mtihani
Hakuna cent ya mteja inaweza kupotea Bank;
1. Pesa zote za wateja zina insurance policy+security
2. Bank zote zinakuwa monitored na BOT, in case bank imepotezqa sifa za kutrade, BOT wanao uwezo wa kuisimamia katika kipindi maalum chini ya uangalizi.
3. Kuna kiasi ambacho bank wanatakiwa wawe nacho kama mtaji ili kufanya operation.
Concl.
Bado bank ni safe place kuhifadhi pesa ambazo hazipo kwenye mzunguko wako wa pesa, ingawa njia bora kbs ni kuinvest kwenye ununuzi wa bonds na securities kama unaijua vema biashara hiyo. Kama huna idea endelea kuweka pesa bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…