KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Unapomaliza Pep unatakiwa ukae mwezi mmoja ndio ukapime coz ukipima haraka sumu ya dawa inakuwa bado ipo kwenye damu kwa hiyo ni ngumu kupata majibu sahihi kwa haraka but after one month majibu yoyote utayopata ni sawa either negative or positiveMkuu kwa uzoefu wako inabidi nipime kupata uhakika baada ya muda gani baada ya PEP