Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

Jamani acheni basi huo uzinzi,sasa hayo maisha ya mateso hivyo ni mpaka lini...
 
Wakuu tunaomba muweke mirejesho.
Imenikumbusha hii story
Kuna kipindi 2021 nilimkula kavu demu mmoja zaidi ya mara safari 5. Alikuja kazini kwetu kufanya kazi ya temporary, sasa kulingana uintrovert wangu kanidharau nikajisemea it's enough. Nilikunja yule demu mpaka nilipoona kuna heshima.

Alirudi mkoani kwake tukawa tunabaki kuwasiliana tu kwa simu. Utaratibu wa kupima HIV kwa routine kama kawaida yangu kupima ninapijisikia ukaendelea.
Sasa mwaka huu mwanzoni naambiwa story za yule demu anamaambukizi,sikudata kwakuwa recently nilikuwa nimepima.

Niliamua kumpigia simu nikamuuliza moja kwa moja kwa kwanini alinificha,kwa kuwa nilikuwa na uhakika sina maambukizi. Alichonijibu ni nilikupenda ndio maana sikutaka nikwambie hali yangu sababu ungenikataa. Hata hivyo akadai nimtumiaji wa dawa kwa usahihi hivyo asingeweza kuniambukiza kirahisi. Nilishangaa sana hiyo kauli. Nilimpigia daktari mmoja akajibu ni kweli,nilikoma asee.
 
Back
Top Bottom