Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

Mkuu kwa uzoefu wako inabidi nipime kupata uhakika baada ya muda gani baada ya PEP
Unapomaliza Pep unatakiwa ukae mwezi mmoja ndio ukapime coz ukipima haraka sumu ya dawa inakuwa bado ipo kwenye damu kwa hiyo ni ngumu kupata majibu sahihi kwa haraka but after one month majibu yoyote utayopata ni sawa either negative or positive
 
Oohh sawa mkuu asante kwa kushare namimi
 
Vp bro kwenye hiyo case yako ulikua na michubuko baada ya kumaliza hilo tendo?
 
Ooh vzur mkuu....lakin vp hizi dawa zina uwezo wa kunusuru mtu hata kama alikua na michubuko?
kiukweli mkuu ukiwahi ndani ya saa 72 tena sana sana masaa 24 na ukawa unazimeza vizuri kwa wakati naweza sema zinanusuru maana watu wengi wamenusurika na vyombo vingi vya kimataifa wanasema ziko poa kwa upande wangu mpaka sasa nina miezi miwili na week mbili manake nina week 10 bado niko poa nasubiria ikamilike miezi 3 ku confirm kabisa kaka
 
kabisa mkuu nikutulia sema sisi wanadamu tumeumbiwa kusahau aisee
Vp mkuu dawa ulizotumia ni zile zilizo andikwa LA75 (lamivudine mg300, tenofovir
mg300 + dolutegravir 5mg) au ni tofauti
 
Vp mkuu dawa ulizotumia ni zile zilizo andikwa LA75 (lamivudine mg300, tenofovir

mg300 + dolutegravir 5mg) au ni tofauti
kiukweli kwenye dawa sijui zilikua zimeandikwaje maana nilipewa na jamaangu yuko medical hospitali moja ivi na zilikua zimeandikwa TLD
 
🥹 nilipiga kavu ila chin ya dakik 2, nilisukuma mar 5 nkawa nmemaliza na bint alikua mgonjwa anatumia dawa ingawa aliniambia alizaliwa nao na anatumia dawa vizuri ila nlipagawa san, nlianza pep ndani ya mda na mpak leo ni siku ya 32 nilisha maliza pep, sas je nipime lin tena maan kwa hiz siku 32 cna maambukiz, na mashart ya pep nilifata haijawah kuzidi hata dakik ya kumeza dawa
 
Attachments

Pole jamaangu na hongera kwa kuwahi PEP mimi binafsi nilikula mzigo tena rounds mbili kama baada ya masaa3 ivi kumpima kikasoma jamaa nilipagawa sana kunajamaa wako humu Jf wamenitia moyo sana so hatawewe utatoboa sema binadamu tumeumbiwa kusahau ila nikuongeza umakini tu nakushauri baada ya kumaliza PEP walau kaa mwezi ndo ucheki hapo unaweza kupata mwangaza kwa kipimo kijacho baada ya kukamilika miezi mitatu kua negative pia pole sana jamaa.
 
Vile vipimo vya rapid test, ikifika siku ya 21 ukatest ukaona umepona ujue ndio umepona kweli. Nisikilize mimi nina uzoefu na majanga ya namna hiyo. Ingawa ukishatumia hizo PeP zinatabia ya kuchelewesha window period na kuifanya iwe ndefu kidgo
Hizo rapid zote ni sawa mkuu oralquick na finger stick??? Kwanzia % ngapkuonesha maambukiz mapema
 
mungu anakuangalia mara mbilmbil, akimalza anatikisa kichwa, na kusema we mpumbavu amri zangu ulizisahau au hauzjui kabisa.
 
Haya yote magonjwa ya stress tu hakuna jipya hapo. Huu ugonjwa dalili yake kubwa haswa ni homa kali na kuvimba matezi kama hakuna hiyo dalili...unajipa stress tu. Mafua na joints kuuma ni kwasababu ya stress
Sory nilitaka kujua hayo matezi unavimbaje..??
 
Vile vipimo vya rapid test, ikifika siku ya 21 ukatest ukaona umepona ujue ndio umepona kweli. Nisikilize mimi nina uzoefu na majanga ya namna hiyo. Ingawa ukishatumia hizo PeP zinatabia ya kuchelewesha window period na kuifanya iwe ndefu kidgo
Mm nimepima siku ya 42 unanishauri vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…