Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Duu! Hii ina ukweli.Mkuu hawa Watanzania waliovurugwa ndiyo uwasaidie bure π!
Ngoja nibaki na hiyo "SHAME ON ME" lakini siwezi kumsaidia mtanzania Bure!
Pia kutoutoa ujuzi Bure inamuongezea umakini mgonjwa na atapambana kuiandaa ili atumie maana kaitolea hela!
Hakuna kitu cha Bure mkuu hata mimi nilitoa hela kipindi napitia changamoto ya Vidonda,tena aliyeniuzia ni mama yangu mkubwa,toka nitoke na mama yangu mzazi!
Hadi leo Vidonda vya tumbo kwangu imebaki historia !
HapanaWanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi sababu Kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
Sio kweli inategemea na visababishi vya vidondaTafuta mizizi ya mti wa mpondeponde, ukaushe kisha usage uwe unga, kisha chukua mbegu za papai uzisage. Changanya huo mchanganyiko wote uwe unaweka kwenye maziwa ya mbuzi, kila siku kunywa nusu lita kwa kipindi cha miezi mitatu huku ukiweka asali ya nyuki wadogo vijiko viwili.
Usipopona niite umbwa nimekaa paleee.
Hivi unajua dawa za mitishamba hua zinaandaliwa na kutafutwa mapolini ndio ziweze kutumika sasa mkitaka vya bure sizani Kama vipi?Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi sababu Kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
Mimi pia make wangu anasumbuliwa na madonda ya tumbo nisaidie. Niko mwanzaMimi nitakupa dawa ya vidonda vya tumbo bure, baada ya kupona.. Ulete shukrani.. π€π€π€.
OK mkuu, naileta thread mda si mrefu...Mimi pia make wangu anasumbuliwa na madonda ya tumbo nisaidie. Niko mwanza
Je umepona?Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital.
Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui.
Naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi?
Sababu kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana
Je ndimu inaweza kuwa mbadala wa limao? Au limao kama limaoMimi natowa kinga ya vidonda vya tumbo ukitaka visikupate hakikisha mwili wako una Alkaline ya kutosha vidonda kwako ni historia, hata mgonjwa wa vidonda vya tumbo pia atumie formula hiyo.
Hakiki gas na acid havizi tumboni mwako.
Antioxidant nzuri ukishakula kunya glasi ya maji ya uvuguvu uliyokamulia limao hata glasi mbili.
Asubuhi kama huwa unakunywa chai jenga utamaduni wa ku kukamulia limao kipande kimoja, huwezi kusumbuliwa na vidonda.
Wenye access kama una ndugu duniani agizeni vidonge vya Acid controller huwezi kupata vidonda vya tumbo.
Mimi sasa hata pilau nakula bila shida, soda pepsi nakunywa, machungwa tu ndio nimeacha kabisa kwa sababu Citric acid siyo nzuri.
NdioJe ndimu inaweza kuwa mbadala wa limao? Au limao kama limao
Ndugu yangu tafadhali kama ukinisaidia na mimi tafadhali...naomba sana vinanitesa mno...Usiwaze mkuu... Umesha pona tayari...
Ukiaza kutumia hii dawa.. Usitumie tena dawa za dukani..