Mimi natowa kinga ya vidonda vya tumbo ukitaka visikupate hakikisha mwili wako una Alkaline ya kutosha vidonda kwako ni historia, hata mgonjwa wa vidonda vya tumbo pia atumie formula hiyo.
Hakiki gas na acid havizi tumboni mwako.
Antioxidant nzuri ukishakula kunya glasi ya maji ya uvuguvu uliyokamulia limao hata glasi mbili.
Asubuhi kama huwa unakunywa chai jenga utamaduni wa ku kukamulia limao kipande kimoja, huwezi kusumbuliwa na vidonda.
Wenye access kama una ndugu duniani agizeni vidonge vya Acid controller huwezi kupata vidonda vya tumbo.
Mimi sasa hata pilau nakula bila shida, soda pepsi nakunywa, machungwa tu ndio nimeacha kabisa kwa sababu Citric acid siyo nzuri.