Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Nyie ndo mnajifanya mnabana Sana mpaka ndoa.

Kisha mnaanza kuleta mirejesho yenu ya kijinga.
"Mme wangu, bao moja TU analala usingizi"

Kwanini msitesti mitambo kabla, kwani kikigongwa kinaisha icho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But inategemea, Kan huwez ukapata nguo nzur ya mtumba na yenye thaman Sawa na ya nguo ya dukan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna sababu ya kwenda bank Kwa sasa. Mpesa wameanza huruma inayokuwezesha kufunguwa akaunti ya MasterCard ya mtandao na unaweza kulipia via Mpesa chochote kilichopo kwenye mitandao.

Tahadhari; Online datings ya popote duniani si salama.

Kama upo serious nenda msikiti wa karibu ya kwenu onana na Imam wa hapo, mpe vigezo vya mume umtakae. In sha Allah utafanikiwa.
 
Ushauri wa hovyo huu, imam si unamtafutia K ya bure
 
Ushauri wa hovyo huu, imam si unamtafutia K ya bure
Katika Uislam hakuna hicho unachokisema. Hata Imam akitaka kuoa ni lazima atowe mahari. Mahari Kiislam ni ya anae olewa.
 
Wadada badirikeni...

1. Punguzen njaa, unamgeuza mwanaume baba yako na sio mchumba wako. Kinachofuata ni kumegwa na kuachwa holela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe ma sheikh sikuizi ni madalali wa wanawake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kanisani je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…