Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take it easy Mtoto mzuri, huyo jamaa ana stress!!Sawa.
But inategemea, Kan huwez ukapata nguo nzur ya mtumba na yenye thaman Sawa na ya nguo ya dukan?Dia usiende mitandaoni, wengi walioko huko sidhani kama nia ni ndoa Bali sex, hata hao wa mbele hakuna kitu. Shoga yangu yeye ana mipesa alikuwa akilipia zile za bei kubwa, alivyonisimulia nilichoka.
Labda ninge kuambia kitu, ila hapa macho mengi.
All in all polee
Huna sababu ya kwenda bank Kwa sasa. Mpesa wameanza huruma inayokuwezesha kufunguwa akaunti ya MasterCard ya mtandao na unaweza kulipia via Mpesa chochote kilichopo kwenye mitandao.Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Duh hahahaaa[emoji40][emoji40][emoji40] kwahiyo yupo mnyoa ndevu anakutumia tu wanamuonaMtaani kwetu wanajua nimeolewa.
Ushauri wa hovyo huu, imam si unamtafutia K ya bureHuna sababu ya kwenda bank Kwa sasa. Mpesa wameanza huruma inayokuwezesha kufunguwa akaunti ya MasterCard ya mtandao na unaweza kulipia via Mpesa chochote kilichopo kwenye mitandao.
Tahadhari; Online datings ya popote duniani si salama.
Kama upo serious nenda msikiti wa karibu ya kwenu onana na Imam wa hapo, mpe vigezo vya mume umtakae. In sha Allah utafanikiwa.
Katika Uislam hakuna hicho unachokisema. Hata Imam akitaka kuoa ni lazima atowe mahari. Mahari Kiislam ni ya anae olewa.Ushauri wa hovyo huu, imam si unamtafutia K ya bure
Mbona wewe ni single mazaKatika Uislam hakuna hicho unachokisema. Hata Imam akitaka kuoa ni lazima atowe mahari. Mahari Kiislam ni ya anae olewa.
kumbe ma sheikh sikuizi ni madalali wa wanawake?Huna sababu ya kwenda bank Kwa sasa. Mpesa wameanza huruma inayokuwezesha kufunguwa akaunti ya MasterCard ya mtandao na unaweza kulipia via Mpesa chochote kilichopo kwenye mitandao.
Tahadhari; Online datings ya popote duniani si salama.
Kama upo serious nenda msikiti wa karibu ya kwenu onana na Imam wa hapo, mpe vigezo vya mume umtakae. In sha Allah utafanikiwa.
Ukila hela ya mwanamke jifunge kibwebwe! Hao akina amu Wana mipesa yao ila ni silka ya mwanamke kuwa bahili na akikupa hela yake kwanza adhabu yako kuzama chumvini na kukuweka dole
Kusingekuwepo na neno kuzini katika lugha ya kiswahiliKatika Uislam hakuna hicho unachokisema. Hata Imam akitaka kuoa ni lazima atowe mahari. Mahari Kiislam ni ya anae olewa.
[emoji1787][emoji1787]mimi labda tuishie kuwa dada na kaka. manzi bila ya chura hata ya kuombea maji dah hapana mimi siwezi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeona?
Na kanisani je?Huna sababu ya kwenda bank Kwa sasa. Mpesa wameanza huruma inayokuwezesha kufunguwa akaunti ya MasterCard ya mtandao na unaweza kulipia via Mpesa chochote kilichopo kwenye mitandao.
Tahadhari; Online datings ya popote duniani si salama.
Kama upo serious nenda msikiti wa karibu ya kwenu onana na Imam wa hapo, mpe vigezo vya mume umtakae. In sha Allah utafanikiwa.